Polisi jijini Dar wamjeruhi mtuhumiwa, yupo mahututi ICU

Polisi Goba, Dar, wajeruhi kwa kipigo, majeruhi yuko ICU, anapumlia mashine, madaktari wasema, kupona kwake utakuwa muujiza wa Mungu....

Jumatano, November 10, 2021, Polisi Goba walimkamata Issa Kassim (20), nyumbani kwao huko Goba kwa madai kwamba ameuziwa TV ya wizi, tukio ambalo mtuhumiwa alikana kulitenda.

Baada ya kumkamata waliondoka naye wakidai wanampeleka kituo cha polisi Goba, lakini kabla ya kufika huko kituoni walimuomba awapigie simu
Dah! Had machoz yamenitoka
 
Muda mwingine polisi wasio waaminifu huwa wanafanya mambo kinyume na maadili yao ya kazi na ikibainika huwa wanashughulikiwa kutokana na sheria zao pia hata sheria za nchi,,, kwahiyo tusihukumu mapema sabab hapa tumepata maelezo ya upande mmja tu cha muhimu hapo ni mashtaka fasta mahakamani haki itapatikana chap tu wakuu tuwe wapole. Kama ni kweli Afande majuto majuto yatakuwa juu yako muda mchache mnatuchafulia jeshi letu bhna,.
 
Hawa Polisi wa Goba ndio zao.

Huyo Majuto anaweza akakukuta usiku . Akakubeba na akaenda kukupa kichapo ili ukiri kuwa ww ni Mwizi. Umeiba let say TV Na ukishakiri anakuridisha Lockup. Unapigia ndugu zako waje kukutoa kwa hela.

Hajaanza Leo. Anasifika sana kwa skendo za namna hii.

Alaf Raia ambaye umeibiwa mali, ukiona mwizi wako kakamatwa unafurah kwamba mpelelezi kafanya kazi.
Kumbe janja janja, anapewa kesi mtu ambaye hausiki kabisaaa.
Sema kichapo kinamfanya akiri kakuibia ili alipe yaishe.

Weledi kwa Mapolisi weng ni shida sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Polisi anaitwa MAJUTO unategemea nini hapo?

Ila wewe mleta uzi unajua kuandika kama hujatia chumvi wewe ni bonge ya ripota.
 
Hawa Polisi wa Goba ndio zao.

Huyo Majuto anaweza akakukuta usiku . Akakubeba na akaenda kukupa kichapo ili ukiri kuwa ww ni Mwizi. Umeiba let say TV Na ukishakiri anakuridisha Lockup. Unapigia ndugu zako waje kukutoa kwa hela.

Hajaanza Leo. Anasifika sana kwa skendo za namna hii.

Alaf Raia ambaye umeibiwa mali, ukiona mwizi wako kakamatwa unafurah kwamba mpelelezi kafanya kazi.
Kumbe janja janja, anapewa kesi mtu ambaye hausiki kabisaaa.
Sema kichapo kinamfanya akiri kakuibia ili alipe yaishe.

Weledi kwa Mapolisi weng ni shida sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Sasa polisi ni zero brain ,wamepata div 0 ,mishahara mbuzi lazima wale rushwa ,lazima wawe majambazi waliopewa vibali na serikali kufanya uhalifu.....Polisi kwenye mali usibishane naye ,anaweza kukuua na kusema ulikuwa jambazi rejea wafanyabiashara wa mehenge wa madini zombe na badeni walivyowafanyia.
 
Hivi alipo huyu Mhanga hakuna hata Mbunge wa kuteuliwa au Kutangazwa!?!?
 
Ndiyomaana mapolisi wengiwao yanakufaga vifo vibaya.

Ctasahau ndugu yangu walimpiga adi akapoteza fahamu,,,
 
IGP Sirro alisema watu wasizae watoto kama kina Hamza na vilevile atoe tamko kwa hawa wawili (Polisi Majuto na mwenzake)
 
Wewe ni mgeni wa hili jukwaa? taarifa zote zinazokuja humu watu huwa wanajitetea walivyo zipata?

Mtu anafikisha ujumbe kwa uchungu na kutafuta haki, unaleta ujuaji!? hiyo story kwa kuisoma inaonekana sio ya kutengeneza, bado unaleta ujuaji!
Inawezekana si ya kutengeneza ila imekuzwa sababu damu ikishavujia humo ndani kwa kipigo na ukapelekwa ICU huwezi kuwa na fahamu ya kueleza yaliyokukuta.

Anyways, hata kama kapigwa kidogo huo ni UKATILI inatakiwa tuukemee.
 
Hawa Polisi wa Goba ndio zao.

Huyo Majuto anaweza akakukuta usiku . Akakubeba na akaenda kukupa kichapo ili ukiri kuwa ww ni Mwizi. Umeiba let say TV Na ukishakiri anakuridisha Lockup. Unapigia ndugu zako waje kukutoa kwa hela.

Hajaanza Leo. Anasifika sana kwa skendo za namna hii.

Alaf Raia ambaye umeibiwa mali, ukiona mwizi wako kakamatwa unafurah kwamba mpelelezi kafanya kazi.
Kumbe janja janja, anapewa kesi mtu ambaye hausiki kabisaaa.
Sema kichapo kinamfanya akiri kakuibia ili alipe yaishe.

Weledi kwa Mapolisi weng ni shida sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

huko goba mnaiba sana tv na mali za watu makazi mapya.
 
Back
Top Bottom