mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,203
- 44,651
Alafu tanesco wamekaa kimya tu.Vituo vingi huu waya na ukuta sijui ni formalities
Alafu tanesco wamekaa kimya tu.Vituo vingi huu waya na ukuta sijui ni formalities
Hii taarifa inawezekana ikawa na ukweli, ila kila msimuliaje uwa na mhemko wa kuongeza maneno kwa uzoefu wangu hili linawezekana kabisa cha msingi ndugu wajitahidi mhanga apate nafuu mengine wamwachie mungu hakuna watakachoweza kufanya hapo ni kupoteza pesa tuu hakuna haki watakayopata kijana apate nafuu maisha yaendelee kwishaNna mashaka na taarifa...km mara ya kwanza kapiga CM kwa mama yake,akazuia muamala usitumwe,akachezea kichapo... kwanini ampgie CM tena ndugu yake mwingine kwa jambo hilo hilo?
Duuh!Polisi Goba, Dar, wajeruhi kwa kipigo, majeruhi yuko ICU, anapumlia mashine, madaktari wasema, kupona kwake utakuwa muujiza wa Mungu....
Jumatano, November 10, 2021, Polisi Goba walimkamata Issa Kassim (20), nyumbani kwao huko Goba kwa madai kwamba ameuziwa TV ya wizi, tukio ambalo mtuhumiwa alikana kulitenda.
Baada ya kumkamata waliondoka naye wakidai wanampeleka kituo cha polisi Goba, lakini kabla ya kufika huko kituoni walimuomba awapigie simu ndugu zake waweze kumuokoa.
Haha Tanznia au??Kwa haya waliyotenda hao wakamatwe wafanywe mfano na askari wote wajue hili. Ni mfano mbaya sana.
Samahni mkuu ilo swali alilouliza ni muhimu sababu polisi sometime wanaweza kujaza ripoti tofaut na kilichotokea ili wajilinde wenyewe sasa kama una ufahamu na ilo ungetuambia yani wamempeleka kama mtuhumiwa au mhanga wa kipigo ,, maana hapo inabdi waseme ni mhanga wa kipigo ndani ya kituo chao ata mkifungua kesi mtakua na pakuanzia ila kama watalindana kituoni kwao wanaweza kusema ni mtuhumiwa na wakampa kesi nyingine zisizostahili au hulijui jeshi letu la polisi mda mwingine janja janja nyingi sana usipokua makini tu unaliwa kichwa kimasikhara.Potezea basi boss' hata sijazoea malumbano? Kwani polisi huwa wanashika majeruhi au mtuhumiwa?' my point was that kuwa maelezo ya ndugu muandishi yanasema ,huyo aliyepigwa aliyatoa akiwa mwananyamala ( which is not ICU)' sasa sijui hizo kachumbari unaniletea sijui zimetoka wapi?
NB.case closed, sioni haja ya malumbano na sijazoea, nilinukuu tu maelezo ya ndugu mtoa habari
Polisi mpumbavu mwingine huyu hapamwanamyamala hospital emergency wamempokea mgojwa kama mtuhumiwa au majeruhi wa kipigigo cha polisi???
Usisumbuane kujibishana na izo mbwa...ukute NDo haohaoPotezea basi boss' hata sijazoea malumbano? Kwani polisi huwa wanashika majeruhi au mtuhumiwa?' my point was that kuwa maelezo ya ndugu muandishi yanasema ,huyo aliyepigwa aliyatoa akiwa mwananyamala ( which is not ICU)' sasa sijui hizo kachumbari unaniletea sijui zimetoka wapi?
NB.case closed, sioni haja ya malumbano na sijazoea, nilinukuu tu maelezo ya ndugu mtoa habari
Akina Majuto, walizaliwa na kupewa malezi murua na Mama zao, kwa vigezo vya Sirro, Ila akina Hamza Mama zao hawakuwafunza ipasavyo!Polisi Goba, Dar, wajeruhi kwa kipigo, majeruhi yuko ICU, anapumlia mashine, madaktari wasema, kupona kwake utakuwa muujiza wa Mungu....
Jumatano, November 10, 2021, Polisi Goba walimkamata Issa Kassim (20), nyumbani kwao huko Goba kwa madai kwamba ameuziwa TV ya wizi, tukio ambalo mtuhumiwa alikana kulitenda.
Polisi mpumbavu mwingine huyu hapa
Mkuu hata sihusiki na tukio hilo, na sijui chochote kuhusu criminal investigation, nilichojaribu kuelezea ni kuwa kwa mujibu wa maelezo hayo sio kweli huyo muhanga aliyatoa akiwa ICU( kama watu walivyohoji) nilichojaribu kufafanua ni kwamba nimesoma na kuelewa maelezo aliyatoa akiwa Mwananyamala before ya kupelekwa ICU, nilikuwa najibu tu hoja ya waliohoji kuwa aliwezaje kuongea akiwa ICUSamahni mkuu ilo swali alilouliza ni muhimu sababu polisi sometime wanaweza kujaza ripoti tofaut na kilichotokea ili wajilinde wenyewe sasa kama una ufahamu na ilo ungetuambia yani wamempeleka kama mtuhumiwa au mhanga wa kipigo ,, maana hapo inabdi waseme ni mhanga wa kipigo ndani ya kituo chao ata mkifungua kesi mtakua na pakuanzia ila kama watalindana kituoni kwao wanaweza kusema ni mtuhumiwa na wakampa kesi nyingine zisizostahili au hulijui jeshi letu la polisi mda mwingine janja janja nyingi sana usipokua makini tu unaliwa kichwa kimasikhara.
Basi sawa mkuu ila kwa wanaohusika kwa huyo kijana inabdi watambue hilo ili wasije pewa madesa yasiomuhusu kijana wao,,, polisi wana mengi sana na wanalindana haswa jamaaMkuu hata sihusiki na tukio hilo, na sijui chochote kuhusu criminal investigation, nilichojaribu kuelezea ni kuwa kwa mujibu wa maelezo hayo sio kweli huyo muhanga aliyatoa akiwa ICU( kama watu walivyohoji) nilichojaribu kufafanua ni kwamba nimesoma na kuelewa maelezo aliyatoa akiwa Mwananyamala before ya kupelekwa ICU, nilikuwa najibu tu hoja ya waliohoji kuwa aliwezaje kuongea akiwa ICU
aliyekwambia akili timamu ni matokeo ya mtihani,kamtie makofi.
Mahakama kuu imehalalisha Jambo Hilo kupitia maamuzi yakutumia akili binafsi za jaji aliyepewa ujaji kiongozi aliyeamua uamuzi kwenye kesi ndogo ndani ya kesi kubwaYani unafosi rushwa katika mazingira yasiyowezekana?
Zamani tulizoea unakutwa na kosa then ndio wanahitaji rushwa, ila now days unapewa kosa sio lako, then wanaomba mpunga.
ukiambiwa hii cancer yako uwezekano wa kupona ni asilimia moja tu utakua unaweza kuongea au huwez? kwe issue ya medical iko tofauti kabisa uwezekano mdg wa kuishi na mahututi inaweza kuwa tofauti kabisa, kuna baadhi ya situation mgonjwa anakata roho wakati mlikua mnapiga naye storiLogically mtu ambaye ana 1% ya kupona hawezi kuongea lolote na pengine yupo kwenye coma yaani 99% amekufa. Kwahiyo huyu jamaa anaongea uongo.