Elections 2010 Polisi igunga, mnamaanisha nini?

Mkuu, JF sio ya CDM kosa langu mimi kusema FFU wanafanya kazi kisasa ndio nipigwe Ban? Kwanza mimi sio CCM mimi ni Independent Thinker
hata mitetea ni independent.

JF sio ya mitetea.
 
Siku zote unapomsifia Jk, wewe ni mtoto wa kike???

Ebu lete bandiko langu lolote nalo msifia JK.
Uzuri wa JF kuna data zote thread na posts za kila member. JF sio sehemu za Porojo
 
Hongera jeshi la polisi kwa kufanya kazi zenu kisasa na kwa makini.
Hii ya kumwaga vipeperushi nimeona hata Marekani huwa wanatumia huo utaratibu kwa kuhofia vurugu.
Navyowajua FFU ukileta fujo utasikitika na nafsi yako utakavyochezea kipigo


Kanawe uso
 
rejea post zako zilizopita, kwa maneno haya una maana kwamba jk ni demu sio. acha hizo wewe.

Ndugu yangu, JF sio sehemu ya porojo watu wengi wanajifunza hapa!
Ebu weka bandiko langu lolote nilimsifia JK. Sio kuropoka tu
 
Katika mtiririko wa kiutendaji wa polisi na kufuatilia nyayo zao toka tulipoasisi vyama vingi, na tena mfumo wa jeshi lenyewe hasa katika kupatikana kwa mkuu wa jeshi hilo (mgogoro wa katiba?)
kwa yote hayo NI VIGUMU KULIAMINI jeshi hili hasa katika "mpambano" wa kisiasa kama huu wa Igunga.
 
Ni mwiko kwa mtoto wa kiume kumsifia mwanaume mwenzako!
Kwa hiyo wewe kila atakacho sema Mwanakijiji unakikubali


tunafaham hupendi kutenda uyatendayo tatizo ni njaa inakusukuma hutakiwi utukanwe kuelimika ulisha elimika ingawa unaitumia vibaya elimu yako nahilo ndolinalo iangamiza nnchi yetu mafisadi wamesoma kwakodi zetu hawatusaidii chochote wanalididimiza taifa
 
Hizo ni picha, hazina maana yoyote. Watoto wenyewe wamezoea kuangali picha za kihindi watu wanauana kabisa. Tusiogope.
 
Back
Top Bottom