"Polisi" for what?

"Polisi" for what?

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,701
Tarime.jpg

Huku kweru Tarime sidhani kama dhana za ulinzi shirikishi au polisi jamii zinaaplai! Coz kwa mambo ya ulinzi tunajitegemea so hatuhitaji hata polisi; kama vipi Amir Jeshi angewaondoa tu kupunguza bajeti. Enewei, hapa katika picha hii ni mkao wa kawaida tu. Tunasubiri Tume ya Katiba iwasiri tutoe maoni yetu tuondoke zetu nyumbani!
 
Ha ha ha ha ha haaaaa! Uuuuuwiiiiii! Mbavu zangu jamani! Mkuu Nyetk ndo maana niliku-miss! Na huyo mpiga picha ana bahati hakusitukiwa na soja. Maana nahisi pangenuka!
 
Last edited by a moderator:
comma for whom not for me may be you

umenikumbusha Trevor Noah nikirudi tu home lzm niweke ndio niende viti virefu
 
mnamsingizia mmama wa watu,alikuwa na mpango wa kwenda kufyeka pori akakutana na mkutano njiani
 
Back
Top Bottom