X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,791
- 15,019
Isije ikawa wewe ndio ulio mgonga.. Mbona unazitafuta taarifa zake kote huku¿
FFU afe kabisa huyo, wao wanamini kwenye natumizi ya nguvu sie twamini munguHabari wadau muda si mrefu leo jumapili muda wa saa tatu kuelekea saa nne usiku wakati narudi nyumbani nikakuta kuna askari ffu amegongwa hapa Ukonga Mombasa na jamaa aliegonga kasepa anaejua zaidi atupe taarifa mimi nilikuwa mpita njia ila wamekimbiza gari iliyogonga na bodaboda cha kusikitisha wamemkosa
Mpaka hapo sijaelewa unaamini Mungu yupiFFU afe kabisa huyo, wao wanamini kwenye natumizi ya nguvu sie twamini mungu
Habari inasema ni polisi wewe unasema ni soldier au aliyeleta taarifa amedanganya?Ugua pole soldier!!
Isije ikawa wewe ndio ulio mgonga.. Mbona unazitafuta taarifa zake kote huku¿
How comes Boda boda wanaifukuzia gari barabara hiyo ya Ukonga ilivo na foleni wanaikosa... Ndo kusema saa Tatu usiku njia ilikua nyeupe peeee