Polisi Anapozimeza Pesa za Hongo Alizopokea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi Anapozimeza Pesa za Hongo Alizopokea

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Wednesday, March 10, 2010 10:03 AM
  Polisi mmoja wa nchini Urusi ametiwa mbaroni kwa kupokea rushwa na kisha kujaribu kuzimeza noti za pesa alizopokea ili kupoteza ushahidi. Polisi mmoja wa nchini Urusi ameingia matatani kwa kupokea rushwa ya pesa za Kirusi ruble 2000 sawa na Tsh. 95,000 na kisha kujaribu kuzimeza noti za hongo hiyo ili kupoteza ushahidi.

  Afisa wa polisi, Alexei Nikolayev, alichukua rushwa toka kwa dereva aliyemkata kwa makosa ya barabani ili asimchukulie hatua dereva huyo.

  Lakini dereva wa gari hilo aliwapa taarifa polisi ambao walimkamata afisa huyo wa polisi wakati akipokea rushwa.

  Ili kupoteza ushahidi afisa huyo wa polisi alijifungia kwenye gari la polisi na kuanza kuzitafuna noti za pesa hizo.

  Afisa huyo anaendelea kuchunguzwa na atafikishwa mahakamani uchunguzi utakapokamilika.
   
Loading...