Ngoja waje…Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
CHADEMA wanaandamana huko? No reform, no election?Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
Labda wamemuona huyo Hamasness wakaona washtue kidogo kuonesha
Hata Majambazi wanapiga Risasi juu kuonesha uwepo wao! Sidhani nchi hii bado kuna Watu wasio tambua uwepo wa Police. Muhimu waangalie sehemu nyingine nje ya mji pasipokuwa na raia wakapigie hizo RisasiLabda wamemuona huyo Hamasness wakaona washtue kidogo kuonesha uwepo wao
Chadema bado hawajafika. Ila No reform no election itafika BabatiCHADEMA wanaandamana huko? No reform, no election?
Haswaa uko sahihi Mkuu. nadhani wameanza vitisho mapemaLabda ni Maandalizi ya wizi wa kura! Kutisha raia.
Hilo suala kuna Wazee walisha lilalamikia ni kama walipuuzwaMajeshi yeti hua jawajui wagonjwa, wanapopiga risasi labda kwny misiba ndio hua wanatangaza