Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 101
Leo alfajiri ktk purukushani za mabomu pale NMC kuna polisi wawili ambao hata kwa sura siwajui ila chakushangaza gafla baada ya mabomu kurindima FFU mmoja alitukuta tumejibanza (tulikua watatu) katika migomba na ukuta wa Arusha sport near arusha secondary na alikua kashika mtutu ila wenzake walivyomuuliza kwa mbali kama kuna watuhumiwa eneo hilo yeye aliwajibu kuwa hakuna mtu na akatuambia tusipite njia ya msikiti wa baniani kwani kuna polisi wenzake wengi sana ivyo tuelekee na njia ya town na tukiulizwa na askari wenzake tuwajibu kuwa tunaelekea sokoni na hatukua NMC, baaada ya hatua chache maeneo ya geti la shule ya msingi uhuru gafla mbele yetu akatokea FFU mwingine akiwa kavaa yale mavazi yao ya kazi na kashika mtutu akavua elemet yake akatuambia tukimbie kwa kupitia njia ya NSSF tuvuke mto then tutakuwa salama bila kutiwa nguvuni na askari wenzake.Askari wote hawa wawili hatuwafahamu wala hawatufahamu na wala hatukuwaomba msaada huu walioutoa pia hawakutuomba rushwa na hatukuwapa rushwa. Tulitimua kwa kupitia njia zile kama tulivyoelekezwa na polisi hao tusiowajua na tulifanikiwa kufika nyumbani salama na kupumzika kwa uchovu wa kukesha pale NMC.Mi nahisi hawa polisi wa Arusha wamechoka na manyanyaso wanayofanyiwa na wakuu kwa kucheleweshewa mishahara yao, mishahara midogo na kutumikishwa kama mbwa kwa maslai ya kisiasa ya watu wachache, then sasa wanapanga kuleta machafuko Arusha kwa kisingizio cha siasa za lema na CHADEMA. Mwema fanya uchunguzi kwa kamanda wako wa Arusha usidanganywe kuwa ni kwa sababu ya lema na Chadema pekee hata hawa polisi wako wamo inawezekana...CHUKUA HATUA. ni mawazo yangu tu...kama yanakuboa yapotezee tu
Leo alfajiri ktk purukushani za mabomu pale NMC kuna polisi wawili ambao hata kwa sura siwajui ila chakushangaza gafla baada ya mabomu kurindima FFU mmoja alitukuta tumejibanza (tulikua watatu) katika migomba na ukuta wa Arusha sport near arusha secondary na alikua kashika mtutu ila wenzake walivyomuuliza kwa mbali kama kuna watuhumiwa eneo hilo yeye aliwajibu kuwa hakuna mtu na akatuambia tusipite njia ya msikiti wa baniani kwani kuna polisi wenzake wengi sana ivyo tuelekee na njia ya town na tukiulizwa na askari wenzake tuwajibu kuwa tunaelekea sokoni na hatukua NMC, baaada ya hatua chache maeneo ya geti la shule ya msingi uhuru gafla mbele yetu akatokea FFU mwingine akiwa kavaa yale mavazi yao ya kazi na kashika mtutu akavua elemet yake akatuambia tukimbie kwa kupitia njia ya NSSF tuvuke mto then tutakuwa salama bila kutiwa nguvuni na askari wenzake.Askari wote hawa wawili hatuwafahamu wala hawatufahamu na wala hatukuwaomba msaada huu walioutoa pia hawakutuomba rushwa na hatukuwapa rushwa. Tulitimua kwa kupitia njia zile kama tulivyoelekezwa na polisi hao tusiowajua na tulifanikiwa kufika nyumbani salama na kupumzika kwa uchovu wa kukesha pale NMC.
Nashindwa kuelewa askari hawa waliopewa order kutukamata wakeshaji hapo NMC inakuwaje wanashiriki kututorosha tena ukizangatia askari hao wametoa msaada huo bila kuombwa wala kulaghaiwa na sisi wakeshaji.

Mbowe aliongozwa na askari wasio watiifu kupitia barabara ya vumbi mpaka fire station akapanda gari akaelekea njia ya uzunguni kupitia daraja dogo la mto themi near by arusha day secondary.Askari hawa hawaridhiki na maisha ya kuishi katika vyumba vya mabati mpaka wamefikia hatua ya kukiuka amri ya Zuberi na kushiriki kuwatorosha baadhi ya wakeshaji tuliokua pale NMC.polisi walikuwa hawawatafuti wafuasi walikuwa wanatafuta viongozi wa mkusanyiko ule na ndio maana aliwaambia wapite waende zao Mbowe akakimbia kwa kasi ya ajabu kama mfuasi akafanikiwa kupenya
wanaotaka kuleta vurugu sio polisi ni chadema na baadhi ya vijana wa kijiweni wa Arusha
Mi nahisi hawa polisi wa Arusha wamechoka na manyanyaso wanayofanyiwa na wakuu kwa kucheleweshewa mishahara yao, mishahara midogo na kutumikishwa kama mbwa kwa maslai ya kisiasa ya watu wachache, then sasa wanapanga kuleta machafuko Arusha kwa kisingizio cha siasa za lema na CHADEMA. Mwema fanya uchunguzi kwa kamanda wako wa Arusha usidanganywe kuwa ni kwa sababu ya lema na Chadema pekee hata hawa polisi wako wamo inawezekana...CHUKUA HATUA. ni mawazo yangu tu...kama yanakuboa yapotezee tu
Kama dhamira yenu ni kukesha, kilichowakimbiza ni nini? 2mia akili yako pia ht km ni chache, zinatosha kujua kuwa cdm wanawapoteza. Kiongoz wenu kakimbia nyie mtabaki vp. Acheni UJINGAAAA!!! Sema nimetumwa maana kila aliye 'opposite' huwa mnasema katumwa. Mbona ninyi huwa hamsemi km mme2mwa? Nawasilisha hoja.
Rep Power : 0Kama dhamira yenu ni kukesha, kilichowakimbiza ni nini? 2mia akili yako pia ht km ni chache, zinatosha kujua kuwa cdm wanawapoteza. Kiongoz wenu kakimbia nyie mtabaki vp. Acheni UJINGAAAA!!! Sema nimetumwa maana kila aliye 'opposite' huwa mnasema katumwa. Mbona ninyi huwa hamsemi km mme2mwa? Nawasilisha hoja.
Mbowe aliongozwa na askari wasio watiifu kupitia barabara ya vumbi mpaka fire station akapanda gari akaelekea njia ya uzunguni kupitia daraja dogo la mto themi near by arusha day secondary.Askari hawa hawaridhiki na maisha ya kuishi katika vyumba vya mabati mpaka wamefikia hatua ya kukiuka amri ya Zuberi na kushiriki kuwatorosha baadhi ya wakeshaji tuliokua pale NMC.
habari za kutunga utazijua tuuuuuuuuuu mikwaruzo kibao