Police Arusha wanatangaza mkutano wa CDM si halali

Yaan wanavyoendelea na huu upuuzi Arusha kuwa ya CCM ndio wasahau kabisaaa!!Ndio imetoka hiyo.ARUSHA na CHADEMA Forever!!!Wanafikiri watu watapumbazwa na vitisho vyao ilikuwa zamani hizo sio kizazi hiki.Sasa hivi macho yanamulika na kuangaza kweli na vichwa vinachemka kwa ajili ya haki!!
 
Wana Arusha GIZA LINAPOKUA TOTORO MAPAMBAZUKO YANAKARIBIA!!!! Tusibabaishwe na VIKARAGOSI hivyo!!! After all NO PAIN NO GAIN! ALUTA CONTINUA!!!!!!!
 
Wajamani bado nipo na hang over but nimeweza kusikia hii
Kituo cha redio Triple A FM imetangaza kuwa mkutano wa chadema
Ambao unatakiwa kufanyika leo wanasema si halali
Hivyo tunatahadhalishwa na kusisitizwa tusiende, Je hizi ni zile
Zao za Kiccm kuleta kauzibe ama ni vipi ?

Haya mwende sasa mkavunjwe miguu na nyie, Lema ameisha vunjwa mbavu tayari
 
amesema kuna vijana wamepanga kuiba maduka na haribu mali za wananchi ndo maana wamesema mkutano usifanyike ili wawashugulikie hao vijana,
 
Polisi Arusha wawalazimisha vijana kufanya mapenzi
Tuesday, 21 December 2
Mwandishi wetu,
Arusha

JESHI la polisi mkoani Arusha, limekumbwa na kashfa nyingine, baada ya polisi wake wawili kutuhumiwa kuwateka vijana watatu waliokuwa wakifanyabiashara na kuwapora fedha na kuwalazimisha kujamiiana huku wakiwapiga picha katika eneo la Ikulu ndogo ya Arusha.

Tukio la aina yake, ambalo tayari limeripotiwa polisi, lilitokea juzi kuanzia saa 5:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana na polisi kuwaachia huru. Vijana hao, walikuwa wakifanya biashara ya kuuza virutubisho vya mwili aina ya Arovela.

Wakizungumza katika ofisi za Mwananchi jana,wafanyabiashara hao, Victoria Agustine(22),Evance Fank(24) Godbless Shirima(18), walisema walikamatwa na polisi hao, wakiwa wanapita nje ya jengo la Ikulu ndogo ambalo lipo jirani na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.

Frank alisema wakiwa wanatembeza bidhaa hizo ambazo zinatolewa nakampuni ya Mwema General Supply ya Arusha, walipita mbele ya Ikulu, na polisi wawili walikuwa lindo waliwaita nawalipoingia ndani na Ikulu walianza kuwahoji maswali kuhusu biashara hiyo.

Alisema ghafla waliambiwa kupiga magoti na kuweka mikono juu, na kuanza kupewa mazoezi ya kupiga pushapu, kuruka kichurachura na baadaye waliwataka kuwakabidhi fedha zote walizonazo.

"Tulisema hatuna fedha, lakini mmoja alianza kutupekuwa na kuchukua Sh 200,000 za mauzo kwa kiongoziwetu Shirima,” alisema Frank.

Frank alisema pamoja na kuchukua fedha hizo, pia waliwataka kutoa sadaka na walichukua kwa nguvu Sh 2,500 kutoka kwa kila mmoja.

"Mimi nilikuwa nawaambia kama tumefanya makosa watupeleke polisi waligoma kabisa na walikuwa wakisisitiza tumefanya makosa kupita mbele ya Ikulu,"alisema Frank.

Alisema baaday waliwavua nguo na kuwataka kufanya mapenzi na Fank na Victoria waliambiwa kukubatiana nakunyonyana ulimi.

"Mimi nilikataa kufanya mapenzi wakanilazimisha huku, wakinipiga, lakini nilikataa na kulala ndipo walilazimisha tunyonyane ulimi na Victoria huku wakitupiga picha kwa simu ya mkononi,"alisema Frank.

Naye Shirima ambaye alikuwa kiongozi, alisema wakati wanapigwa alimtambua polisi mmoja na akamuita kwa jina huku akiomba wasiendelee kuwatesa, lakini aligoma na kuendelea kuwapiga.

"Tuliwakuta wamelewa na mimi namjua mmoja kabisa kwa jina(jina linahifadhiwa) nikamwambia mimi namjua na kaka yangu alikuwa polisi na pia kuna ndugu yangu ni ofisa wa Magereza Manyara, aliposikia hivyo alianza kunihoji ni wapi nilimuona nikamwambia ndipo alisema anatupeleka polisi, lakini tulipofikanjiani alituacha na kuondoka,"alisema Shirima.

Mwandishi wa habari hizi, juzi aliwakuta wafanyabiashara hao, wakiwa wanatoa maelezo katika ofisi ya Mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha na baadaye kwa kamanda wa polisi mkoani Arusha, lakini hadi jana hakuna hatua ambazo zilikuwa zimechukuliwa.

"Yule mkuu wa upelelezi badala ya kufungua kesi ya malalamiko yetu alianza kuzungumza na kiongozi wa walinzi wa Ikulu na kuomba tukutanishwe ili waombe msahama na akatuomba tuache namba za simu lakini hadi leo(jana) hajatupigia,"alisema Shirima.

Vijana hao, wamelishauri jeshi la polisi kuchukua hatua kali dhidi ya polisi na kuwalazimisha kufuta picha walizowapiga ili zisisambaa mitaani.

Alifafanua kuwa baada ya kufika kwa kamanda wa polisi mkoani Arusha, Thobias Andengenye alitusikiliza na kutueleza kuwa atatupigia simu, lakini pia hadi leo (jana) bado hajatupigia.

Kamanda wa polisi mkoani Arusha, Thobias Andengenye hakupatikana jana kuelezea tuhuma hizo, baada ya simu yake ya mkononi kupokelewa na msaidizi wake aliyedai kuwa yupo katika kikao ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha. Pia saa 8:52 Mwananchi lilimpigia tena lakini simu yake haikupokelewa na ilikuwa ikita tu muda wote bila kujibiwa.

Tukio hili ni mfululizo wa matukio ya unyanyasaji wa polisi kwa raia na hivi karibuni walituhumiwa kumpiga mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema na pia waliwahi kutuhumiwa kuwauwa kwa risasi vijana wawili eneo la Kijenge, lakini hata hivyo hakuna hatua zilizochukuliwa.

Source: MWANANCHI
this deserves demonstration... inaonekana masikio ya polisi sasa yamepita kichwa
 
we are tire with upuuzi ndani ya Tanzanian police Force.

Kinacho nishangaza ni kuwa hawa Police wana pata wapi Courage ya kwenda kuingilia hivyo vikao vya hapo Arusha?? Ofice ya TAMISEMI inasema nini kuhusu haya na Waziri Mkuu yeye kazi yake ni nini? Kwani wao wanakubali hawa CCM na CDM wapishane kwenya maswala ya UMeya huko Majimboni kunani kwenye kiti cha Umeya jamani?

Hebu tupeni Taratibu na kanuni za kumteua meya wa miji ili nasi Raia tujua maaaana TV zetu nazo hazitupi full coverage ya matukio na kutuambia nini hupaswa kufanyika ili kumchagua Meya, na Chaajabu kila kukicha mwatuambia hoo CDM wanaleta vurugu na hao CCM je wao ndio hawaleti fujoo na kwanini? Au kuna upendeleo mahali si wananchi twafichwa au twapotezewaaa??

Hili jambo lina shangazaaaa sana kwa taswira tu ya njeee ni kitu ambacho ni kinatakiwa kuwa wazi, Pili Kumbukeni Lemma ndio mbunge wao hapo Arusha na Police wao wanamfanyia harassment huyo Mbunge wao huku ukirudi nyuma wajue kuwa Mbunge huwa ana Immunity zake sasa sielewi hawa Police wanajua kanuni au wanafata order kutoka Ofice ya Waziri mkuu kitengo cha Tamisemi??

this deserves demonstration... inaonekana masikio ya polisi sasa yamepita kichwa

Wambugani said:
Polisi Arusha wawalazimisha vijana kufanya mapenzi
Tuesday, 21 December 2
Mwandishi wetu,
Arusha

JESHI la polisi mkoani Arusha, limekumbwa na kashfa nyingine, baada ya polisi wake wawili kutuhumiwa kuwateka vijana watatu waliokuwa wakifanyabiashara na kuwapora fedha na kuwalazimisha kujamiiana huku wakiwapiga picha katika eneo la Ikulu ndogo ya Arusha.

Tukio la aina yake, ambalo tayari limeripotiwa polisi, lilitokea juzi kuanzia saa 5:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana na polisi kuwaachia huru. Vijana hao, walikuwa wakifanya biashara ya kuuza virutubisho vya mwili aina ya Arovela.

Wakizungumza katika ofisi za Mwananchi jana,wafanyabiashara hao, Victoria Agustine(22),Evance Fank(24) Godbless Shirima(18), walisema walikamatwa na polisi hao, wakiwa wanapita nje ya jengo la Ikulu ndogo ambalo lipo jirani na Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.

Frank alisema wakiwa wanatembeza bidhaa hizo ambazo zinatolewa nakampuni ya Mwema General Supply ya Arusha, walipita mbele ya Ikulu, na polisi wawili walikuwa lindo waliwaita nawalipoingia ndani na Ikulu walianza kuwahoji maswali kuhusu biashara hiyo.

Alisema ghafla waliambiwa kupiga magoti na kuweka mikono juu, na kuanza kupewa mazoezi ya kupiga pushapu, kuruka kichurachura na baadaye waliwataka kuwakabidhi fedha zote walizonazo.

"Tulisema hatuna fedha, lakini mmoja alianza kutupekuwa na kuchukua Sh 200,000 za mauzo kwa kiongoziwetu Shirima," alisema Frank.

Frank alisema pamoja na kuchukua fedha hizo, pia waliwataka kutoa sadaka na walichukua kwa nguvu Sh 2,500 kutoka kwa kila mmoja.

"Mimi nilikuwa nawaambia kama tumefanya makosa watupeleke polisi waligoma kabisa na walikuwa wakisisitiza tumefanya makosa kupita mbele ya Ikulu,"alisema Frank.

Alisema baaday waliwavua nguo na kuwataka kufanya mapenzi na Fank na Victoria waliambiwa kukubatiana nakunyonyana ulimi.

"Mimi nilikataa kufanya mapenzi wakanilazimisha huku, wakinipiga, lakini nilikataa na kulala ndipo walilazimisha tunyonyane ulimi na Victoria huku wakitupiga picha kwa simu ya mkononi,"alisema Frank.

Naye Shirima ambaye alikuwa kiongozi, alisema wakati wanapigwa alimtambua polisi mmoja na akamuita kwa jina huku akiomba wasiendelee kuwatesa, lakini aligoma na kuendelea kuwapiga.

"Tuliwakuta wamelewa na mimi namjua mmoja kabisa kwa jina(jina linahifadhiwa) nikamwambia mimi namjua na kaka yangu alikuwa polisi na pia kuna ndugu yangu ni ofisa wa Magereza Manyara, aliposikia hivyo alianza kunihoji ni wapi nilimuona nikamwambia ndipo alisema anatupeleka polisi, lakini tulipofikanjiani alituacha na kuondoka,"alisema Shirima.

Mwandishi wa habari hizi, juzi aliwakuta wafanyabiashara hao, wakiwa wanatoa maelezo katika ofisi ya Mkuu wa upelelezi wilaya ya Arusha na baadaye kwa kamanda wa polisi mkoani Arusha, lakini hadi jana hakuna hatua ambazo zilikuwa zimechukuliwa.

"Yule mkuu wa upelelezi badala ya kufungua kesi ya malalamiko yetu alianza kuzungumza na kiongozi wa walinzi wa Ikulu na kuomba tukutanishwe ili waombe msahama na akatuomba tuache namba za simu lakini hadi leo(jana) hajatupigia,"alisema Shirima.

Vijana hao, wamelishauri jeshi la polisi kuchukua hatua kali dhidi ya polisi na kuwalazimisha kufuta picha walizowapiga ili zisisambaa mitaani.

Alifafanua kuwa baada ya kufika kwa kamanda wa polisi mkoani Arusha, Thobias Andengenye alitusikiliza na kutueleza kuwa atatupigia simu, lakini pia hadi leo (jana) bado hajatupigia.

Kamanda wa polisi mkoani Arusha, Thobias Andengenye hakupatikana jana kuelezea tuhuma hizo, baada ya simu yake ya mkononi kupokelewa na msaidizi wake aliyedai kuwa yupo katika kikao ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha. Pia saa 8:52 Mwananchi lilimpigia tena lakini simu yake haikupokelewa na ilikuwa ikita tu muda wote bila kujibiwa.

Tukio hili ni mfululizo wa matukio ya unyanyasaji wa polisi kwa raia na hivi karibuni walituhumiwa kumpiga mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema na pia waliwahi kutuhumiwa kuwauwa kwa risasi vijana wawili eneo la Kijenge, lakini hata hivyo hakuna hatua zilizochukuliwa.

Source: MWANANCHI

Navyo Jua Police Huku mikoani wamekuwa na kiburi Jeuri sana na ninawambieni KATIBA ikibadilishwa hao Police watawaheshimu Raia kama Mungu ngojeni hapa nchini si haki huwa inapindishwa pindishwa ngojeni hiyo KATIBA mpya ije ndio mtajua nini maana ya KATIBA na sheria zake kila mtu atanyooka bila ubishi.

Hao Police hawatofanywa kitu ngoje mtasikia tuu they will walk freee wakuu

Kama wanajua hilo, kwa nini wasitoe ulinzi kwenye maduka hayo? Huko ni kujificha kwenye shamba la karanga. Hatudanganyiki!!!!!!!
 
Wajamani bado nipo na hang over but nimeweza kusikia hii
Kituo cha redio Triple A FM imetangaza kuwa mkutano wa chadema
Ambao unatakiwa kufanyika leo wanasema si halali
Hivyo tunatahadhalishwa na kusisitizwa tusiende, Je hizi ni zile
Zao za Kiccm kuleta kauzibe ama ni vipi ?

Nyie ni Mikutano tu kila mara,pumbavu zenu fanyeni kazi..Siasa siasa muda wote ...Mwambieni ma mbunge wenu afanye kazi kampeni zimekwi? zimekwisha
 
Freeman Mbowe na Lema wapo kwa Thobias Andengenye. Kitaeleweka baada ya muda kama kuna mkutano au la.
 
Haya mwende sasa mkavunjwe miguu na nyie, Lema ameisha vunjwa mbavu tayari
Arusha/Tanzania haiwezi kujengwa na wapumbavu kama wewe waoga ambao unatishiwa unatoa m.....acha wakatuvunje ila kumbuka hata wewe unaweza ukajikwaa ukavunjia vile vile
 
Nyie ni Mikutano tu kila mara,pumbavu zenu fanyeni kazi..Siasa siasa muda wote ...Mwambieni ma mbunge wenu afanye kazi kampeni zimekwi? zimekwisha
Mwambie nahuyo mme wako apunguze safari za marekani
 
walaii leo hii ningekua Arusha kingeeleweka tuu, ila wapiganaji wa arusha msiogope, huku kanda ya ziwa tuliisha washikisha adabu kwa sasa kuna kaheshima kidogoo na nyie huko kazeni butii
 
amesema kuna vijana wamepanga kuiba maduka na haribu mali za wananchi ndo maana wamesema mkutano usifanyike ili wawashugulikie hao vijana,

Polisi wetu huwa wanakwepa majukumu yao kijinga kijinga; sasa hizo info kama wamezipata si wafuatilie na kuweka mtego ili kuwanasa hao wahalifu? Yaani wanawaogiopa wahalifu? Shame on them!
 
Dear Mods naomba uniruhusu yaani leo tu, sijawahi hata siku moja ila naomba kwa leo tu, nisije kufa kwa presha, niruhusu leo tu nimtukane huyu mdudu anaeitwa RPC kopo la chooni... yaani kweli anawezaje kutosa sababu za kjinga kiasi hicho halafu tukae kimya mjinga huyu ajaze watu ujinga? naomba uniruhusu Mod japo kidogo tu
 
Na nyie mnao-quote lihabari zima mnanikera kama hicho ki- RPC chenu
 
huku nmc watu wamekamatwa na polisi ni wengi sana..barabara zimefungwa..
 
Back
Top Bottom