Polepole yuko Sahihi. TUME inataka kumpa Mwalimu kura kadhaa za Bure

Polepole yuko Sahihi. TUME inataka kumpa Mwalimu kura kadhaa za Bure

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
6,543
Reaction score
11,644
Kuna mpango wa ovyo wa Kumpa Salum Mwalimu kura kadhaa za kubumba huyu mtu ili wapate wabunge wa viti maalum kadhaa na wabunge wa ovyo ovyo

Ndugu Watanzania sio Siri tena kwa namna yoyote Mpina angekuwa ana kura nyingi sana kuliko huyu mgombea wa Chauma na pengine angemzidi mgombea wao kwenye baadhi ya maeneo, na kufanya Tume washindwe kutoa matokeo ambayo yako tayari.

Kuna watu ni watu wa ovyo sana hasa hawa wapinzani wa Tanzania, ACT juzi walisema wanaamini mifumo ya Uchaguzi leo, Tume imewatia dole. Sasa ni wakati wa hivi vyama vikaragosi kufa na CCM na kuwa nchi ambayo kiongozi anapatikana kwa Merit.

Hoja ya Polepole ya tarehe 21 August imetuandalia mazingira yote ya kuivunja CCM na viongozi wote wa Magumashi.

Yawezekana Lissu akawa Rais, Chadema na watu wote tupige kelele jambo moja tu nayo ni Afya ya huyu mtu isijekuwa kama ya Mrema na Lowasa ghafla.
 
Salum Mwalimu anaandaliwa kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni
 
Back
Top Bottom