Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

Hili jambo linafanywa la kisiasa!! Mwalimu alimtia ndani mtu alietamba kwa watu kuwa kaisunda mfukoni serikali ya TZ!!
Huyu anaejinafikisha kuwa mwadilifu kawafanyaje hao waliotaka kumhonga?
 
Ikiwa zimepita siku mbili tangu Rais John Magufuli kueleza kuwa kwa sasa nchi iko katika vita ya uchumi na kwamba ana majina ya watu waliotaka kuingilia na kuharibu uchunguzi wa Kamati Maalumu aliyoiunda ili kuchunguza thamani na viwango vya madini vilivyomo kwenye mchanga wenye madini (Makinikia) katika makontena 277 yaliyozuiliwa kusafirishwa nje ya nchi, ili kupoteza ushahidi.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole Mei 25, 2017 aliibuka na kudai kuwa kuna wahujumu uchumi walitaka kumhonga kiasi cha Bilioni 300 Rais Magufuli, ili kusitisha zoezi la uchunguzi huo, huku akihoji masilahi wanayopata watu wanaofanya biashara ya kusafirisha makinikia hayo nje ya nchi.

“Vita ziko za aina nyingi, ziko zile tunazopigana kwa silaha mtu na mtu, na nchi na nchi, lakini sasa ziko vita za kiuchumi, ni mbaya zaidi zinalenga kuturudisha nyuma.Wahujumu uchumi hawapigani na rais, bali wanapigana na maisha ya wananchi wa Tanzania, tukiwa wamoja tutashinda vita hii, wako watu wanaipinga vita hii yenye dhamira njema, huu si wakati wa kutofautiana ni wakati wa kusimama kumshinda adui,” alisema.

Polepole aliyasema hayo, wakati akitoa wito kwa wananchi, kumuunga mkono Rais Magufuli katika kipindi hiki kigumu kwani nchi iko katika vita mbaya ya uchumi ambayo wahujumu uchumi wamelenga kupigana na maisha ya watanzania na kurudisha nyuma maendeleo ya Taifa.

“Kuna watu walitaka kumhonga rais bilioni 300 ili kusitisha uchunguzi. Walitaka kuhonga bilioni 300 kwa ajili ya kusitisha uchunguzi huo, hivi wao wanapata fedha kiasi gani? Lakini rais akawatolea nje, akasema subirini uchunguzi ukamilike. Tusiamame naye na hakika tutashinda na historia itaandikwa kwamba tulisimama katika kulinda urithi wetu,” amesema.

Katika hatua nyingine, Polepole aliwajibu baadhi ya wanansiasa wanaoikosoa CCM kutokana na viongozi wake waliopita kutunga na kupitisha sheria za madini ambazo zinatetea masilahi ya wawekezaji kuliko nchi, kwa kusema kuwa viongozi walioko sasa ni tofauti na waliopita, na kwamba serikali iliyoko madaraka itarekebisha sheria hizo.

“Tumehujumiwa sana, tumedhurumiwa sana mali za watanzania ambazo tumezirithi kutoka kwa mababu zetu na tuna dhamana ya kuhakikisha zinawafikia watoto wa watoto wetu,” alisema

Hoja:
Kina nani walitaka kumhonga rais?Wamechukuliwa hatua gani?

Katibu mwenezi haya mambo ni ya ukweli? Yaan raisi anahongwa bil 300 na inaisha hivi hivi kweli? Acheni kutuona sisi watz ni madunya kaka! Hivi hiyo vita yenu ya rushwa inafanyikiaga wapi??
 
Huyu pole pole sjui hata ana akili gan? Hao watu waliotaka kumuhonga Rais wako wap? Wamechukuliwa hatua gan? Kuna watu wengne wanatafuta wenyewe sababu za kutukanwa
 
Ingekuwa mimi ni rais ningevuta huo mpunga wa Bil 300, then najiuzulu u rais mwisho wa picha naenda kujenga kijiji huko kijijini kwangu kwa hiyo hela... Shuba mitttii....
Mi ningevuta huo Mpunga na Report siibadilishi na wakitaka waende popote
 
Kwa kauli hii polepole anamaanisha Watoa Rushwa walimfikia hadi rais then akawatolea nje?Rais wa nchi !basi TAKUKURU ofisi yao ivunjwe tu ikiwa watoa Rushwa wanamfikia hadi Rais.(Polepole bhana,CCM mtaji wenu ni watu wasio na elimu ya kuchanganua mambo)
 
Aache uongo. Tutajuaje kma ni kweli..??? Na yeye kajuaje..???

Au alitaka kusema Magu ndo alitaka bilioni 300 jamaa wakachomoa kumpa ndo akaamua kuchoma..?? Asituzingue.

Tatizo CCM wanachotaka ni kutuaminisha kwmb prezidaa ni mtu safi kuliko usafi wenyewe na kwamba ana uzalendo kuliko Nyerere. Hivi anazijua Bilion 300 au anaongea tu huyo..??? Huyu ni wa kumpuuza...!!!
 
Nilimsikia Hans pope akielezea kuhuzu smelters duniani. Huyu ndg ana kampuni ya clearing iliyokuwa iki clear hizo kontena? Nauliza najua yeye ni Transporter mkubwa wa mafuta
 
Wametaka kumuonga Rais bilioni 300.
Rais yuko kimya.
TISS wako kimya.
TAKUKURU wako kimya.
POLISI wako kimya.
Bunge liko kimya.
AG yuko kimya.

Anaibuka Polepole na kuanza kuimba taarab badala ya watu kuchukuliwa hatua.
Mkuu billion 300 ni mtaji mkubwa,sijui huko nyuma kuna dalali aliekuwa anawapa asali wakuu wa tawala za huko nyuma,?
Kama Magu alipangiwa billioni 300 je madalali wangepata ngapi?
Ila wazungu wao wangekokotoa kuwa wamepata hasara miaka mingine 20.
 
Ikiwa zimepita siku mbili tangu Rais John Magufuli kueleza kuwa kwa sasa nchi iko katika vita ya uchumi na kwamba ana majina ya watu waliotaka kuingilia na kuharibu uchunguzi wa Kamati Maalumu aliyoiunda ili kuchunguza thamani na viwango vya madini vilivyomo kwenye mchanga wenye madini (Makinikia) katika makontena 277 yaliyozuiliwa kusafirishwa nje ya nchi, ili kupoteza ushahidi.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole Mei 25, 2017 aliibuka na kudai kuwa kuna wahujumu uchumi walitaka kumhonga kiasi cha Bilioni 300 Rais Magufuli, ili kusitisha zoezi la uchunguzi huo, huku akihoji masilahi wanayopata watu wanaofanya biashara ya kusafirisha makinikia hayo nje ya nchi.

“Vita ziko za aina nyingi, ziko zile tunazopigana kwa silaha mtu na mtu, na nchi na nchi, lakini sasa ziko vita za kiuchumi, ni mbaya zaidi zinalenga kuturudisha nyuma.Wahujumu uchumi hawapigani na rais, bali wanapigana na maisha ya wananchi wa Tanzania, tukiwa wamoja tutashinda vita hii, wako watu wanaipinga vita hii yenye dhamira njema, huu si wakati wa kutofautiana ni wakati wa kusimama kumshinda adui,” alisema.

Polepole aliyasema hayo, wakati akitoa wito kwa wananchi, kumuunga mkono Rais Magufuli katika kipindi hiki kigumu kwani nchi iko katika vita mbaya ya uchumi ambayo wahujumu uchumi wamelenga kupigana na maisha ya watanzania na kurudisha nyuma maendeleo ya Taifa.

“Kuna watu walitaka kumhonga rais bilioni 300 ili kusitisha uchunguzi. Walitaka kuhonga bilioni 300 kwa ajili ya kusitisha uchunguzi huo, hivi wao wanapata fedha kiasi gani? Lakini rais akawatolea nje, akasema subirini uchunguzi ukamilike. Tusiamame naye na hakika tutashinda na historia itaandikwa kwamba tulisimama katika kulinda urithi wetu,” amesema.

Katika hatua nyingine, Polepole aliwajibu baadhi ya wanansiasa wanaoikosoa CCM kutokana na viongozi wake waliopita kutunga na kupitisha sheria za madini ambazo zinatetea masilahi ya wawekezaji kuliko nchi, kwa kusema kuwa viongozi walioko sasa ni tofauti na waliopita, na kwamba serikali iliyoko madaraka itarekebisha sheria hizo.

“Tumehujumiwa sana, tumedhurumiwa sana mali za watanzania ambazo tumezirithi kutoka kwa mababu zetu na tuna dhamana ya kuhakikisha zinawafikia watoto wa watoto wetu,” alisema

Hoja:
Kina nani walitaka kumhonga rais?Wamechukuliwa hatua gani?
Huyu dogo naye bado mvulana. Hajakomaa
 
nini kazi ya takukuru? si wamtembelee bwana mkubwa ilibwatimize wajibu wao?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mh polepole kasema sasa nyie mnaokataa mnapinga ? Kwani RUSHWA hazipo au bi 300 ndiyo zimewashitua
 
Bilioni 300 ndiyo size ya mkulu na. Mjue muongaji ni dude la kidunia si la polepole lazima mkuu tumwombee sana hata ulinzi na usalama wake uimarishwe VITA ya UCHUMI si lelemani kitu kwani wanyonyaji wanataka kwa gharama yoyote waendelee kunyonya wakisaidiwa na Watanzania WABINAFSI WASIO WAZALENDO; MUNGU akulinde Magu wetu NIA YAKO ITIMIE , Amina
 
Back
Top Bottom