Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

angekuwa bungeni Polepole angeambiwa atoe ushaidi kumdhlalisha mukulu. CCM na wana habari wamwambie atoe udhaidi. amsivyo aadhibiwe kama albert
 
Ikiwa zimepita siku mbili tangu Rais John Magufuli kueleza kuwa kwa sasa nchi iko katika vita ya uchumi na kwamba ana majina ya watu waliotaka kuingilia na kuharibu uchunguzi wa Kamati Maalumu aliyoiunda ili kuchunguza thamani na viwango vya madini vilivyomo kwenye mchanga wenye madini (Makinikia) katika makontena 277 yaliyozuiliwa kusafirishwa nje ya nchi, ili kupoteza ushahidi.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole Mei 25, 2017 aliibuka na kudai kuwa kuna wahujumu uchumi walitaka kumhonga kiasi cha Bilioni 300 Rais Magufuli, ili kusitisha zoezi la uchunguzi huo, huku akihoji masilahi wanayopata watu wanaofanya biashara ya kusafirisha makinikia hayo nje ya nchi.

“Vita ziko za aina nyingi, ziko zile tunazopigana kwa silaha mtu na mtu, na nchi na nchi, lakini sasa ziko vita za kiuchumi, ni mbaya zaidi zinalenga kuturudisha nyuma.Wahujumu uchumi hawapigani na rais, bali wanapigana na maisha ya wananchi wa Tanzania, tukiwa wamoja tutashinda vita hii, wako watu wanaipinga vita hii yenye dhamira njema, huu si wakati wa kutofautiana ni wakati wa kusimama kumshinda adui,” alisema.

Polepole aliyasema hayo, wakati akitoa wito kwa wananchi, kumuunga mkono Rais Magufuli katika kipindi hiki kigumu kwani nchi iko katika vita mbaya ya uchumi ambayo wahujumu uchumi wamelenga kupigana na maisha ya watanzania na kurudisha nyuma maendeleo ya Taifa.

“Kuna watu walitaka kumhonga rais bilioni 300 ili kusitisha uchunguzi. Walitaka kuhonga bilioni 300 kwa ajili ya kusitisha uchunguzi huo, hivi wao wanapata fedha kiasi gani? Lakini rais akawatolea nje, akasema subirini uchunguzi ukamilike. Tusiamame naye na hakika tutashinda na historia itaandikwa kwamba tulisimama katika kulinda urithi wetu,” amesema.

Katika hatua nyingine, Polepole aliwajibu baadhi ya wanansiasa wanaoikosoa CCM kutokana na viongozi wake waliopita kutunga na kupitisha sheria za madini ambazo zinatetea masilahi ya wawekezaji kuliko nchi, kwa kusema kuwa viongozi walioko sasa ni tofauti na waliopita, na kwamba serikali iliyoko madaraka itarekebisha sheria hizo.

“Tumehujumiwa sana, tumedhurumiwa sana mali za watanzania ambazo tumezirithi kutoka kwa mababu zetu na tuna dhamana ya kuhakikisha zinawafikia watoto wa watoto wetu,” alisema

Hoja:
Kina nani walitaka kumhonga rais?Wamechukuliwa hatua gani?

Wakati Fulani vyeo vya kuokoteza njiani upoozesha akili za asili.
 
Wametaka kumuonga Rais bilioni 300.
Rais yuko kimya.
TISS wako kimya.
TAKUKURU wako kimya.
POLISI wako kimya.
Bunge liko kimya.
AG yuko kimya.

Anaibuka Polepole na kuanza kuimba taarab badala ya watu kuchukuliwa hatua.
kaka uliona aliyemtolea Nape bastola walijifanya kuvaa miwani ya mbao kuwa hawamjui, Malima kafyatuliwa risasi 6 hewani na hakuna lolote lililotokea, mpaka leo hawajaja kujibu, leo tunaletewa maji taka ati tukubali kirahisi rahisi, wamepitisha wenyewe halafu wanalalamika kama nchi ilikuwa chini ya upinzani
 
upload_2017-5-30_16-50-51.png
upload_2017-5-30_16-50-51.png
 
Nchi zilizoendelea saivi Polepole angekua ashakamatwa kuisadia polisi.
Waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyau akiwa madarakani aiitwa kuhojiwa polisi kisa alipokea zawadi toka kwa mfanyabiashara, Bwana Trump anayumbishwa saiv kisa inaaminika aitoa tactics zakupambana na ISIL na kushirikiana na Urusi wakati wa uchaguzi, Rais wa zamani wa Brazil na korea kusini wameshtakiwa kwa upuuz walofanya wakiwa madarakani, Bibi clinton mgombea wa chama tawala kipindi hicho aliitwa kuhojiwa kwa kosa tu la kutumia email binafsi kwa kazi za ofisi alpokua waziri.Hapa kwetu kelele nyingi hakuna kitu tunasumbuana tu.
I wish I could be Trump.
 
Hivi Shilingi bilioni miatatu 300 billions kwa Mhe. Rais ni pesa gani? (Dola za kimarekani takriban milioni moja na ushei) Eeeeh Polepole tuhurumie Watanzania! Usituaminishe kuwa Mkulu alishindana na ACACIA kwenye meza ya maongezi! Hivyo ni vijisenti vya kupewa meneja au mkurugenzi. Hazitoshi hata kununua apartment ya maana Dubai hivi hawa akiliccm huwa wanawaza vitu gani kabla ya kuongea hadharani??? :D:D
 
Hapo Ndugu yangu Polepole atakuwa kapotoka...Achukuliwe na vyombo vinavyohusika ahojie ili aeleze ni akina nani hao walitaka mpa rushwa Mh. Rais.
Anainyesha namna gani Nchi hii ilivyooza..kama watu wanafikia hatua ya kutaka kimpa Rais rushwa! Na wakaachwa tu kwa kuambiwa eti subirini ripoti kwanza? Dah!Polepole kuwa serious katika hili
 
Huu ni ufirauni wa wapi huu???!!! yaan mtu anaenda front na kutaka kumuhonga rais 300 billion halafu anachekewa chekewa tu..???! bila shaka huyo mtu katumwa na ACACIA...,hawa watu hakuna kuwalegezea this time...! ikibidi tuanzishe hata vita kuu ya tatu ya dunia.., lakini si kuwaachia!
 
Ikiwa zimepita siku mbili tangu Rais John Magufuli kueleza kuwa kwa sasa nchi iko katika vita ya uchumi na kwamba ana majina ya watu waliotaka kuingilia na kuharibu uchunguzi wa Kamati Maalumu aliyoiunda ili kuchunguza thamani na viwango vya madini vilivyomo kwenye mchanga wenye madini (Makinikia) katika makontena 277 yaliyozuiliwa kusafirishwa nje ya nchi, ili kupoteza ushahidi.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humphrey Polepole Mei 25, 2017 aliibuka na kudai kuwa kuna wahujumu uchumi walitaka kumhonga kiasi cha Bilioni 300 Rais Magufuli, ili kusitisha zoezi la uchunguzi huo, huku akihoji masilahi wanayopata watu wanaofanya biashara ya kusafirisha makinikia hayo nje ya nchi.

“Vita ziko za aina nyingi, ziko zile tunazopigana kwa silaha mtu na mtu, na nchi na nchi, lakini sasa ziko vita za kiuchumi, ni mbaya zaidi zinalenga kuturudisha nyuma.Wahujumu uchumi hawapigani na rais, bali wanapigana na maisha ya wananchi wa Tanzania, tukiwa wamoja tutashinda vita hii, wako watu wanaipinga vita hii yenye dhamira njema, huu si wakati wa kutofautiana ni wakati wa kusimama kumshinda adui,” alisema.

Polepole aliyasema hayo, wakati akitoa wito kwa wananchi, kumuunga mkono Rais Magufuli katika kipindi hiki kigumu kwani nchi iko katika vita mbaya ya uchumi ambayo wahujumu uchumi wamelenga kupigana na maisha ya watanzania na kurudisha nyuma maendeleo ya Taifa.

“Kuna watu walitaka kumhonga rais bilioni 300 ili kusitisha uchunguzi. Walitaka kuhonga bilioni 300 kwa ajili ya kusitisha uchunguzi huo, hivi wao wanapata fedha kiasi gani? Lakini rais akawatolea nje, akasema subirini uchunguzi ukamilike. Tusiamame naye na hakika tutashinda na historia itaandikwa kwamba tulisimama katika kulinda urithi wetu,” amesema.

Katika hatua nyingine, Polepole aliwajibu baadhi ya wanansiasa wanaoikosoa CCM kutokana na viongozi wake waliopita kutunga na kupitisha sheria za madini ambazo zinatetea masilahi ya wawekezaji kuliko nchi, kwa kusema kuwa viongozi walioko sasa ni tofauti na waliopita, na kwamba serikali iliyoko madaraka itarekebisha sheria hizo.

“Tumehujumiwa sana, tumedhurumiwa sana mali za watanzania ambazo tumezirithi kutoka kwa mababu zetu na tuna dhamana ya kuhakikisha zinawafikia watoto wa watoto wetu,” alisema

Hoja:
Kina nani walitaka kumhonga rais?Wamechukuliwa hatua gani?
huyo raisi wenu alivyokua na njaa si rahisi kukataa huo mzigo wa B 300
 
Mtu anaye shawishi kutoa rushwa si anatakiwa kukamatwa au ????? Je hao waliotaka kutoa hongo wamechukuliwa hatua gani??? Kwa maana nyingine polepole (Slow slow) anataka kutuaminisha kwamba zile kamati za uchunguzi wa mambo mbali mbali yenye maslahi kwa umma ambazo ripoti zake ziliishia kapuni wahusika walipewa mlungula (Rushwa) ili wasiweke mambo hadharani??? Bado maswali ni mengi kuliko majibu anyway kwa hatua zilizopigwa hasa kuthubutu kuweka wazi ripoti ni hatua ya kupongezwa saaana.
 
Back
Top Bottom