Polepole, Silaa na Gwajima wataibwaga CCM Dodoma

Ukweli ni kwamba Humphrey Pole Pole hana historia ya kufeli Shuleni. Nakushauri ujiridhishe kabla ya kuongelea masuala binafsi ya mtu yeyote kwenye Jamvi kama hili.
Kafeli, unamtetea tuuu, mpuuuzi kama unabisha weka matokeo yake
 
Kama ni kufeli darasani hata Pole Pole ni failure, tena failure mbaya akiwa secondary.
Tatizo kubwa la vijana wa CCM ni kufikiri kwa kutumia tumbo badala ya ubongo, na hiyo inatokana na mfumo wa CCM kuwafanya hivyo. Kama huamini, jaribu kuangalia wale vijana wote machachari waliokuwa upinzani halafu wakahamia CCM na kupewa vyeo, sikiliza wanachosema sasa na kukifanya, ni upuuzi mtupu.

Kuwa mwanaCCM tu, huko ni kulaaniwa.
Labda kama tuongee kishabiki ila Hamphrey hana historia ya kufeli shule na wala hajawahi kupitia njia za mkato kwenye elimu yake, hili nina uhakika nalo 100%, ninamfahamu kwa muda mrefu sana.

Kuhusu swala la watu kubadilika waingiapo nafikiri ni kutokana na misingi ya chama na ulevi wa madaraka na pesa.
 
Kama kuna mtu yeyote anaebisha kuwa CCM hakujajaa wajinga na matutusa anitajie vijana watatu tu walioko CCM ambao anawaona ni very intelligent, hâta wazee tu kama inawezekana.

Kama huko chamani hawako, turudi hapa Jf kisha anionyeshe wanaCCM wawili tu ambao huwa wana hoja za maana hapa.

Ndo mtajua kuwa hoi nchi haiwezi kuendelea kwasababu wanaoongoza WOTE ni wajinga.
 
Unamkumbuka mtanzania kwa jina la Lyatonga Mrema ulizia ngoma yake ilikuaje…kaa kwa kutulia mkuu…life is just one big lie my friend, life is an illusion…kila jambo linawezekana
Kwahiyo MREMA alishida uchaguzi au aliiharibu CCM??
 
Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
Kujenga hoja hata Steve Nyerere au Msukuma au yule mbunge wa Kahama Kishimba wote wanaweza, tena vizuri tuu. Tatizo misimamo na kutoaminika, hivi unajua kuna Polepole wa rasimu ya mzee Warioba, Polepole wa Magufuli na Polepole wa sasa?? Wewe hapa unazungumzia yupi??
 
Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
Kujenga hoja ili utetee dhulma ni ushetani.. watu walivokuwa wanateswa na kunyimwa haki zao za kuishi kwann hakujenga hoja za kuwatetea? Bila shaka alikaa kimya ili kutetea tumbo lake. Kwake yy tumbo n muhimu kuliko uhai wa wengine! Angekuwa kijana makini angepaza sauti na km wangekataa kumsikiliza alipaswa kujiuzulu! Kwa hilo angejipa reputation kubwa sana! Ukitaka kumjua huyu snitch just think u-turn aliyopiga kwenye katiba mpya yy n Kabudi!
 
Kujenga hoja ili utetee dhulma ni ushetani.. watu walivokuwa wanateswa na kunyimwa haki zao za kuishi kwann hakujenga hoja za kuwatetea? Bila shaka alikaa kimya ili kutetea tumbo lake. Kwake yy tumbo n muhimu kuliko uhai wa wengine! Angekuwa kijana makini angepaza sauti na km wangekataa kumsikiliza alipaswa kujiuzulu! Kwa hilo angejipa reputation kubwa sana! Ukitaka kumjua huyu snitch just think u-turn aliyopiga kwenye katiba mpya yy n Kabudi!
Tatizo wewe unachagia kwa kukurupuka na kusukumwa na chuki ndani yako! Hapo ulipo haujaruhusu matumizi ya ubongo unatumia hasira na ndo unapoaanza kufeli!
 
Hakuna kesi tena hapo, akina Mangula, Pinda, n.k woote wafuasi wa push, Polepole na wenzie wote Push, unatarajia nini!
 
Hivyo vichwa vyote vilivyoitwa hapo ni vibovu,na ndiyo hao hao walikuwa wanapalilia suala la mwendazake kuongezewa muda Ili atawale zaid,kama mtakumbuka Jerry Slaa alifikia had hatua ya kutaka katiba ibadilishwe,video zake zipo mitandaoni,huyo pole pole ndiyo kabisa kashirik Sana kuua upinzan na kukandamiza hata haki za Wana ccm wenzake enz za jiwe,they have to pay for their own karma,

Kama vipi wapigwe chini tuh nguchiro hao
Huenda ukawa sahihi hao jamaa hasa Polepole ameamua kuwa mpiga kelele sababu kiwango cha ulaji na wadhifa umepungua japo bado ni mbunge ila ushawishi wake sio mkubwa chamani.

Nadhani wangekaa kimya tu kama Bashiru.
 
tangu chakubana aanze kufukiza moshi naona wahuni wamepunguza mashambulizi kwa mwendazake, je, hii inaashiria wahuni kuzidiwa ujanja na chakubanga?
Unaye mwita Chakubanga anawapa madini wameshindwa kumjibu. Vikao akaulizwe nini kwani anachozungumza ni ya kawaida tu na wala havunji katiba ya nchi wala ya CCM
 
Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
Alisha ambiwa kaja na kokoro, na chama kina wenyewe,ukijua upana wa kauli hii,huwezi kujisumbua ,vaa vazi lile,au miliki KADI ya chama kile

Note

CCM Kama jina la chama sio tatizo ,tatizo ni aina ya watu wenye chama chao, hawazidi mia,pale wengine huku chini ni vipelege tu,wamebaki tu kulushiwa vimfupa vya mwisho, alafu ndo wanamapambio wakubwa mfano

Kipindi Cha kampeni bebwa kwenye maroli Kama mizigo,lipwa elfu kumi,pewa vitenge,kanga,kofia ,tirshat, alafu wapigie ile wimbo wa CCM ni ile ile, uone wanavyomwaga uno, na mbaya zaidi mpaka baba mzima kukunishwa nazi ,ebo ccm ni janga imetualibia jamii zetu
Namkubali mh PolePole anajua kujenga hoja na ana madini mengi kichwani
 
Back
Top Bottom