Polepole ni mwana siasa wa uongo kupitia kiasi

Polepole ni mwana siasa wa uongo kupitia kiasi

Hii aina ya siasa anayofanya polepole ndio aina ya wanasiasa wengi Tanzania ambao hawana malengo wanatumia majina yao kuwashawiahi na kuwadanganya WANANCHI kuwaminisha kuhusiani na gharama za nishati na wanaamini kwamba WANANCHI hawawezi kutafuta uthibitisho wowote juu ya propaganda zao
Umemaliza kulalamika..??

Au ndo unatoa taarifa kuwa unakwenda kutafuta uthibitisho wa uongo wake siyo..🫣?

Karibu, na fanya haraka otherwise ukichelwa utakula viboko 24 unapokuja na 24 tutakapokurudisha ulikotoka..!!
 
Pole pole kutupa lawama moja kw moja kwenye uongozi kama sababu za dhulma na utajiri usio wa haki unaoletwq na kubagaza na kubananga kama si kutapanya malinza umma yuko sahihi.

Kwq namna ambayo gepu kat ya utajiri na maskin inazid kuwa kubwa. Na hili hata enzi za siasa za Nyerere ilikuwa miongoni mwa ajenda na sera kubwa ya kupambana nalo.

Maisha kuwa magumu kwq wqnanchi wa hali ya chini ni kweli kwa 100% lawqma kwa serikali mana ndo wenye uwezo wa kuboresha na kuweka nafuu. Na hapa tunapata funzo kubwa kwa wanajamii ambao hawajui ya kwamba, Umaskini na utajiri ni sawa na pande mbili za sarafu moja. Yani kwa kadri unavyozidi kuwa maskini ndivyo hivyo tajiri anazidi kuwa tajiri

Kwa mana unazidi kuwa maskin kwq kuishia kununua mahitaji ambayo bei yake sio rafiki. Manunuz machache tu hela kwisha, na unaponunua kuna sehem unanunua. Yule anaekuuzia ndivyo anapata faida kubwa kwq kukuuzia wewe ghali.

Mm binafsi, namuelewa sana hapo ila kwa nn anatoa mfano kwq nchi yenye sera za kijamaa ilhali Tanzania ina sera za Kibepari?
 
Hii aina ya siasa anayofanya polepole ndio aina ya wanasiasa wengi Tanzania ambao hawana malengo wanatumia majina yao kuwashawishi na kuwadanganya WANANCHI kuwaminisha kuhusiani na gharama za nishati na wanaamini kwamba WANANCHI hawawezi kutafuta uthibitisho wowote juu ya propaganda zao
Baba yako angevaa mpira wa kiume angeisaidia nchi
 
Mleta mada natamani ungeirudia mada yako kwa sababu mimi naiona ipo nusu vinginevyo kama itabakia hivi mimi nitakuweka kwenye kundi la chawa.
Njoo basi na kundi la wanasiasa wakweli ndio tupime vizuri,
Hata wanne tu tutakuelewa
 
Ungethibitisha Uongo wake kwa ushahidi badala ya kulalamika!
 
Hii aina ya siasa anayofanya polepole ndio aina ya wanasiasa wengi Tanzania ambao hawana malengo wanatumia majina yao kuwashawishi na kuwadanganya WANANCHI kuwaminisha kuhusiani na gharama za nishati na wanaamini kwamba WANANCHI hawawezi kutafuta uthibitisho wowote juu ya propaganda zao
You are a naive dolt, merde.
 
Back
Top Bottom