Polepole na CCM yake wapuuzwe, ni wapuuzi

CHADEMA Ilikufa rasmi siku walipobadili gia angani na kumchukua Mr White hair na kumuacha Dr. Slaa
Yawezekana wew ndio umekufa na huko kuzimu hauioni CDM maana iko hai duniani,sasa ndio maana unahisi imekufa!Hebu angalia pembeni huko,kama unamuona Wassira pande hizo basi ujue uko kuzimu,huku duniani CDM iko hai!
 
Polepole sio kijana
Kweli upinzani kwishney.Hivi mnathibitisha kuwa Lowasa,Sumaye,Ngombare na wanaofanana nao ni CHADEMA? na mna amini kuwa CHADEMA ni safi na mbadala wa CCM ? ZZK mmempa jina CCM B siku nyingi,haya tuaminisheni tumekosea kumchagua mwanaume JPM nani kutoka wazungusha mikono ni mbadala wake 2020?

Mnatamani tumchague mamluki kama lia lia wa Zimbabwe anayepambana na jongwe? mmekosea.Tanzania ni habari nyingine hatununuliki kwa kunde.
 
POLEPOLE NA CCM YAKE WAPUUZWE, NI WAPUUZI.

Nimemsikiliza jana kijana mwenzangu ndugu Humphrey Polepole akizungumza kwa niaba ya ccm juu ya mambo kadhaa aliyoyaita makubwa nchini, mambo hayo ni mauaji ya Kibiti na Ripoti ya Makanikia.

Nimelazimika kulichambua hili kwa mtindo wa makala kwa nia ya kumkanya na kumwambia Polepole awe na adabu na heshima kwa Watanzania, sisi sio wajinga kama anavyotupimia kipimo alichonacho ambacho ni wanachama wenzake ndani ya ccm.

Nimesikitika kuona kijana huyu anawaita Watanzania ni wapuuza wale tunaounga mkono juhudi za rais huku tukihoji kwamba wizi wote huu katika raslimali umefanywa na Chama cha Mapinduzi, hivyo tukitaka makada wa chama hicho wasimvuruge Rais anapojaribu kupambana na hali hii.

Natataka nimrejeshe nyuma kijana huyu kwa lengo la kumfunza ama kumkumbusha na kisha kumkanya awe na adabu mbele ya umma hasa linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi itikadi na mihemko yake iishie viunga vya Lumumba.

Mwaka 1998 wakati makampuni makubwa ya uchimbaji madini ya ASHANTI yalipoingia mikataba na serikali ya Tanzania iliyokuwa chini ya mwenyekiti wa ccm na rais wa Tanzania Benjamin William Mkapa, chama cha mapinduzi kililiridhia kwa kauli moja, serikali yake kuingia mikataba hiyo na kikahubiri hadharani kwamba taifa sasa linanufaika, Hivyo tunapohoji ushiriki na uratibu na unufaika wa ccm katika raslimali za nchi yetu, Polepole anapata wapi kibri chakutuita sisi wapuu?

Kwamfano Mgodi wa Golden Pride ambao umemaliza dhahabu yote tani 76 katika eneo la Lusu wilayani Nzega. Kampuni ya Resolute ya Australia iliwekeza dola 370 milioni kuanzia mwaka 1998 (mkataba wao ulisainiwa 25th June 1997). Katika kipindi cha uhai wa mgodi, miaka 14, Kampuni hii imeuza dhahabu ya thamani ya dola za kimarekani 3.3 bilioni, Muulizeni Polepole kama anafahamu kampuni hii ililipa mrahaba wa shingapi mpaka madini yalipoisha? Haya yote yamefanyika chini ya ccm

Lakini sivyo tu, rejea hansadi za Bunge juu ya hotuba za Upinzani zote tangu bunge la kwanza la vyama vingi, upinzani wamekuwa wakipiga kelele uwazi wa mikataba hii ambayo yote husainiwa Ikulu ya Tanzani, yani wizi wote mkubwa katika nchi hii huratibiwa Ikulu tangu Mwalimu Nyerere alipotutoka tu. Polepole anaweza kuwa hajui kwakuwa ameingia juzi kwenye siasa ya nchi hii anafikiri kuongoza ccm ni kuongoza zile NGOs zake za pale Mwenge za utetezi wa haki za mashoga.

Suala lingine alilozungumza Polepole na kujinasibu ni kiongozi wa chama cha watu ni suala la Mauaji ya Kibiti huku akimtisha Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP katika taarifa yake. Na zaidi akajikita kutuhumu vyama vya siasa kwamba vimekaa kimya. Nataka nimkumbushe, vyama vya siasa havijakaa kimya, vyama vya siasa vina platform yake ya kutolea kauli za kitaifa na njia hii havipangiwi na chama kingine yaani chama cha kihalifu ccm,

Mauaji ya Kibiti ni uhalifu mkubwa, una kila elements za kubashiri aina zake, mauaji haya hayahitaji kukurupuka kisiasa, kwakuwa kwakufanya hivyo waweza kujikuta yanageuzwa kuwa matukio ya kisiasa au ya kidini kws vyovyote yanavyoweza kuchukuliwa, Yanahitaji vyombo vya kiuchunguzi ndivyo vishughulike nayo, na sio matamko ya kisiasa kama polepole anavyotaka iwe, wala hayahitaji matamko ya kidini labda katika muundo utakao kutanisha imani zote pawe na sauti moja, nje ya hapo yatajengwa mazingira na kuitwa mauaji ya kidini. Polepole kwa mambo haya ni mchanga, walionyamaza na kuacha vyombo vya dola vifanye kazi anawaona wapuuzi ile yeye ndiye mjanja na mzalendo,

Nataka nimkumbushe tu katika utawala wake ccm, Anafahamu kwamba Ben Saanane maarufu kama Ben-Rabiu Wa Saanane ni mwezi wa sita huu amepotea/ametekwa? Ipo wapi kauli ya chama chake katika hili?

Anafahamu kwamba Bagamoyo miili saba iliokotwa kwenye viroba ikazikwa pembeni ya mto mithiri ya mbwa? Ipo wapi kauli ya chama yeye akiwa msemaji? Anafahamu kwamba Lugumi imekiuka mkataba wa makubaliano na wizara ya mapolisi juu ya ufungaji ya mitambo ya kielekroniki vituo vya polisi na kampuni hiyo ilishalipws pesa zote kufunga vituo zaidi ya 200 lakini mpaka dakika hii ni vituo vinne tu ndivyo vimefungwa? Ipo wapi kauli ya chama yeye akiwa msemaji? Mnafiki mkubwa huyu..

Manunuzi ya Ndege, ujenzi wa barabara za Mwenge > Moroko, Mwanza Airport nk zimeidhinishwa cha Bunge lipi nchini? Ipo wapi kauli ya chama katika hili yeye akiwa ni msemaji?

Namsihi sana Polepole awe na adabu mbele za Watanzania, Chama cha Mapinduzi katiks suala la madini na mengineyo yote, kabla ya kusimama hadharani na kujitia kuwatusi watanzania kwamba wapuuzi kinatakiwa kutuomba radhi watanzania kwa uhalifu mkubwa na uhujumu uchumi wa nchi yetu tangu 1997 mpaka leo hii...

Polepole alitakiwa jana kuitumia nafasi ile kuliomba radhi taifa kwa chama chake kutubaka bila ridhaa yetu kwa miaka 18 mpaks leo katika raslimali zetu, lakini kwakuwa kijana keshakunywa madaraka ya kulevya basi kaishia kututukana tu huku akijiita ccm mpya.

Na Yericko Nyerere
 
Huyu jamaa ampendi mh nchemba natumaini atamtafutia zengwe maana pole nae ni bonge l a mnafiki muhulize nape

Swissme
 
Naona hata huelewi nini nimekiandika ila ndiyo hali tuliyonayo kwasasa wache Mkapa atuite wapumbafu maana ndiyo kipaji chetu watanzania.

Na mimi nimesema hivyo hivyo, kwamba kwa shida hii ya mikataba mibovu ya madini, wanaohusika wanatakiwa wakamwombe ushauri huyo unayesema anaita wengine "wapumbavu". Maana yeye na kile chama chake wana akili sana ndio maana wakasaini mikataba hiyo. You are not a serious mind, this is why i am trying to talk shit in your head.
 
Kwanza hustahili kutumia jina la Nyerere kwa hulka uliyonayo,chama chako kinapenda sana kudandia mambo yasiyo na mshiko na huwa mbele kutoa matamshi,lakini kwenye mambo ya msingi na muhimu kwa nchi yetu chama chako kinaota matende,kwenye mambo ya kipuuzi Chadema hakihitaji platform lakini kwenye mambo muhimu kinahitaji platform.Chadema na wewe mwenyewe ni bure kabisa.Kwanza huaminiki na hata hao wenzako wanakuona kama mpiga domo tu.Humfikii hata robo kijana mwenzako Polepole,wee endelea kubwabwaja tu.

Bora kudandia kuliko kudandiwa, wewe unadandiwa.
 
Pole pole shule yake ndogo saana ni wakupuuzwa tu hana lolote la maaana
 
. Kwa sasa hapa nchini kiongozi anaependwhizo. wananchi wa kipato cha chini ni Rc Paul Makonda Christian Kutokana na uthubutu wake dhidi ya kupinga hadharani mambo maovu yanayokusudiwa kufanywa na mabepari dhidi ya wananchi .....Hivyo makonda amekuwa mstari wa mbele kupinga kwa vitendo dhuluma hizo ......Makonda amekuwa kiongozi pekee anaefanya kazi zake kwa vitendo kuliko viongozi wengi hapa nchini iwe wa ccm au upinzani ....makonda ni future ya Tanzania yetu ni wajibu wa kila mpenda MAENDELEO yasiyo na kelele za wanahabari,,,makonda ni njia mpya kwa MAENDELEO ya taifa letu
 
Unaweza kujiona kuwa ww ni kijana mwelewa kuliko Polepole kumbe ww 0 kabisa, vijana wengi mmewekeza akili zenu kwa wanasiasa waongo, kutumia akili yako kutafakari imekuwa shida na hilo ndo tatizo la uwekezaji wa akili- na mwisho wake ni kuwa kama nyumbu.
 
. Kwa sasa hapa nchini kiongozi anaependwhizo. wananchi wa kipato cha chini ni Rc Paul Makonda Christian Kutokana na uthubutu wake dhidi ya kupinga hadharani mambo maovu yanayokusudiwa kufanywa na mabepari dhidi ya wananchi .....Hivyo makonda amekuwa mstari wa mbele kupinga kwa vitendo dhuluma hizo ......Makonda amekuwa kiongozi pekee anaefanya kazi zake kwa vitendo kuliko viongozi wengi hapa nchini iwe wa ccm au upinzani ....makonda ni future ya Tanzania yetu ni wajibu wa kila mpenda MAENDELEO yasiyo na kelele za wanahabari,,,makonda ni njia mpya kwa MAENDELEO ya taifa letu
 
Ni vizuri kama wewe unaongea kama mtanzania lakini nilivyoona maoni yako yamenikwaza na kukuweka katika kundi moja na Yericko, lakini tuache mambo ya siasa maana wewe na mimi si wanasiasa tunachotakiwa kuacha siasa katika masuala kama haya. Maana ukianza kusema alikua wapi kufanya mwanzoni ama na yeye ni CCM basi utakua unasema aache mambo yaendelee kama siku zote na hilo ni kosa kubwa.

Mikataba ilishafanywa na wahuni hivyo baada ya kumtafuta mchawi anachotakiwa kukifanya ni kuanzia hapa tulipo maana akiingia huko nyuma kuna mahala atakwama. Aige mfano wa Rais wa Nigeria makaburi ni magumu sana kuyafukua...Me just say
Kumbe Mkapa ni muhuni ?
 
Pole ndie alisema kuwa mijamaa ilitaka kumhonga mkuu million 300 ? Hivi kwa nini hakutueleza kama jamaa keshahifadhiwa au bado anapumua ?
 
Nimemsikiliza jana kijana mwenzangu ndugu Humphrey Polepole akizungumza kwa niaba ya ccm juu ya mambo kadhaa aliyoyaita makubwa nchini, mambo hayo ni mauaji ya Kibiti na Ripoti ya Makanikia.

Nimelazimika kulichambua hili kwa mtindo wa makala kwa nia ya kumkanya na kumwambia Polepole awe na adabu na heshima kwa Watanzania, sisi sio wajinga kama anavyotupimia kipimo alichonacho ambacho ni wanachama wenzake ndani ya ccm.

Nimesikitika kuona kijana huyu anawaita Watanzania ni wapuuza wale tunaounga mkono juhudi za rais huku tukihoji kwamba wizi wote huu katika raslimali umefanywa na Chama cha Mapinduzi, hivyo tukitaka makada wa chama hicho wasimvuruge Rais anapojaribu kupambana na hali hii.

Natataka nimrejeshe nyuma kijana huyu kwa lengo la kumfunza ama kumkumbusha na kisha kumkanya awe na adabu mbele ya umma hasa linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi itikadi na mihemko yake iishie viunga vya Lumumba.

Mwaka 1998 wakati makampuni makubwa ya uchimbaji madini ya ASHANTI yalipoingia mikataba na serikali ya Tanzania iliyokuwa chini ya mwenyekiti wa ccm na rais wa Tanzania Benjamin William Mkapa, chama cha mapinduzi kililiridhia kwa kauli moja, serikali yake kuingia mikataba hiyo na kikahubiri hadharani kwamba taifa sasa linanufaika, Hivyo tunapohoji ushiriki na uratibu na unufaika wa ccm katika raslimali za nchi yetu, Polepole anapata wapi kibri chakutuita sisi wapuu?

Kwamfano Mgodi wa Golden Pride ambao umemaliza dhahabu yote tani 76 katika eneo la Lusu wilayani Nzega. Kampuni ya Resolute ya Australia iliwekeza dola 370 milioni kuanzia mwaka 1998 (mkataba wao ulisainiwa 25th June 1997). Katika kipindi cha uhai wa mgodi, miaka 14, Kampuni hii imeuza dhahabu ya thamani ya dola za kimarekani 3.3 bilioni, Muulizeni Polepole kama anafahamu kampuni hii ililipa mrahaba wa shingapi mpaka madini yalipoisha? Haya yote yamefanyika chini ya ccm

Lakini sivyo tu, rejea hansadi za Bunge juu ya hotuba za Upinzani zote tangu bunge la kwanza la vyama vingi, upinzani wamekuwa wakipiga kelele uwazi wa mikataba hii ambayo yote husainiwa Ikulu ya Tanzani, yani wizi wote mkubwa katika nchi hii huratibiwa Ikulu tangu Mwalimu Nyerere alipotutoka tu. Polepole anaweza kuwa hajui kwakuwa ameingia juzi kwenye siasa ya nchi hii anafikiri kuongoza ccm ni kuongoza zile NGOs zake za pale Mwenge za utetezi wa haki za mashoga.

Suala lingine alilozungumza Polepole na kujinasibu ni kiongozi wa chama cha watu ni suala la Mauaji ya Kibiti huku akimtisha Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP katika taarifa yake. Na zaidi akajikita kutuhumu vyama vya siasa kwamba vimekaa kimya. Nataka nimkumbushe, vyama vya siasa havijakaa kimya, vyama vya siasa vina platform yake ya kutolea kauli za kitaifa na njia hii havipangiwi na chama kingine yaani chama cha kihalifu ccm,

Mauaji ya Kibiti ni uhalifu mkubwa, una kila elements za kubashiri aina zake, mauaji haya hayahitaji kukurupuka kisiasa, kwakuwa kwakufanya hivyo waweza kujikuta yanageuzwa kuwa matukio ya kisiasa au ya kidini kws vyovyote yanavyoweza kuchukuliwa, Yanahitaji vyombo vya kiuchunguzi ndivyo vishughulike nayo, na sio matamko ya kisiasa kama polepole anavyotaka iwe, wala hayahitaji matamko ya kidini labda katika muundo utakao kutanisha imani zote pawe na sauti moja, nje ya hapo yatajengwa mazingira na kuitwa mauaji ya kidini. Polepole kwa mambo haya ni mchanga, walionyamaza na kuacha vyombo vya dola vifanye kazi anawaona wapuuzi ile yeye ndiye mjanja na mzalendo,

Nataka nimkumbushe tu katika utawala wake ccm, Anafahamu kwamba Ben Saanane maarufu kama Ben-Rabiu Wa Saanane ni mwezi wa sita huu amepotea/ametekwa? Ipo wapi kauli ya chama chake katika hili?

Anafahamu kwamba Bagamoyo miili saba iliokotwa kwenye viroba ikazikwa pembeni ya mto mithiri ya mbwa? Ipo wapi kauli ya chama yeye akiwa msemaji? Anafahamu kwamba Lugumi imekiuka mkataba wa makubaliano na wizara ya mapolisi juu ya ufungaji ya mitambo ya kielekroniki vituo vya polisi na kampuni hiyo ilishalipws pesa zote kufunga vituo zaidi ya 200 lakini mpaka dakika hii ni vituo vinne tu ndivyo vimefungwa? Ipo wapi kauli ya chama yeye akiwa msemaji? Mnafiki mkubwa huyu..

Manunuzi ya Ndege, ujenzi wa barabara za Mwenge > Moroko, Mwanza Airport nk zimeidhinishwa cha Bunge lipi nchini? Ipo wapi kauli ya chama katika hili yeye akiwa ni msemaji?

Namsihi sana Polepole awe na adabu mbele za Watanzania, Chama cha Mapinduzi katiks suala la madini na mengineyo yote, kabla ya kusimama hadharani na kujitia kuwatusi watanzania kwamba wapuuzi kinatakiwa kutuomba radhi watanzania kwa uhalifu mkubwa na uhujumu uchumi wa nchi yetu tangu 1997 mpaka leo hii...

Polepole alitakiwa jana kuitumia nafasi ile kuliomba radhi taifa kwa chama chake kutubaka bila ridhaa yetu kwa miaka 18 mpaks leo katika raslimali zetu, lakini kwakuwa kijana keshakunywa madaraka ya kulevya basi kaishia kututukana tu huku akijiita ccm mpya.

Na Yericko Nyerere
View attachment 515478
Inawezekana habari hii ndio imemponza Yericko hasa hiyo heading?
 
Back
Top Bottom