Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 993
heri yako macho na akili zimeona na kutambua , ile sauti sio ya kijana kabisaPolepole sio kijana
heri yako macho na akili zimeona na kutambua , ile sauti sio ya kijana kabisaPolepole sio kijana
Filosofi ya UKAWA ni moja mtu akishaondoka CCM ya nyuma haya mhusu. Wamesahau kuwa wao kina Yericko na Polepole ni sawa kabisa, bora hata Polepole japo si fan wake anaelewa wakati kuliko kina Yericko.Mikataba yote ilisainiwa kwenye selikali ya Awamu ya tatu, hivyo ukitaka kuuona upuuzi wa Polepole fukuza kwanza wale mawaziri wastaafu kwenye chama cha bwana Yericko Nyerere.
This is your "topic sentence" that implies that, according to you "Mauaji ya Kibiti & Makinikia" are not big issues at all.Nimemsikiliza jana kijana mwenzangu ndugu Humphrey Polepole akizungumza kwa niaba ya ccm juu ya mambo kadhaa aliyoyaita makubwa nchini, mambo hayo ni mauaji ya Kibiti na Ripoti ya Makanikia. Na Yericko Nyerere
Polepole sio kijana
- Hawezi kutoa tamko la CHADEMA kwasababu CHADEMA hawana msemaji wa dizaini hii.mambo ya CCM yanakuhusu nini? toeni tamko la chadema na sio lako?...... haya yote yametokea kwasababu ya uzembe wa vyama vya upinzani kushindwa kuchukua nchi.....tusilaumiane.
:ufalme wa mbinguni unatekwa na wenye nguvu
Wewe bure kabisa. Huna Kichwa wala miguu hujui unaloongea. Siasa zako zimeanzia 2014.Polepole ameongea kama msemaji wa CCM, wewe umepata wapi mamlaka ya kusemea Upinzani, kama siyo kiherehere cha kujivisha kaptula isiyo yako? Yericko una historia ya kutosimamia mambo hivyo huna moral authority kumkanya hata mfukuza panya let alone msemaji halali wa chama cha siasa.
Umejaza hii server ukimsema Lowassa na kutaka watu wamkatae, leo hii unalamba sahani yake. Kama ni kuomba msamaha wewe unatakiwa uwe wa kwanza kuwaomba msamaha Watanzania kwa kuwaamisha unapinga ufisadi kumbe ulikuwa uneweka 'seat' ili ujaze tumbo.
Na pia nikukumbe, CCM ina makosa, tena makosa makubwa, leo dawa haiwezi kuwa chama cha walamba matipishi. Wewe na genge lako mmeonesha kiini cha ugonjwa unalisumbua hili taifa, kwamba watu wanaongea wasichokiamini. Miaka nenda mmelia ufisadi na kuibiwa na makampuni ya madini, leo hii katokeza mtu kuchukua hatua ya kupambana na mafisadi, wewe unakazana kubadilisha 'goal' post na kudeki ili 'wawekezaji' wa kisiasa wamapte maficho.
Acha uongo... Wapinzani wasiwe salama kwa uchafu uliofanywa na watu wengine? that is shit..Kwa bongo ilipofika inabidi tusameheane tu na kuungana kutetea maslahi ya taifa,ukisema kufukua makaburi,hakuna mwanasiasa atakayetoka salama,si upinzani wala watawala!
Ni lazima mkubali dude lenu limeoza siku nyingi, sasa linaendelea kuwanukia watanzania wote...Filosofi ya UKAWA ni moja mtu akishaondoka CCM ya nyuma haya mhusu. Wamesahau kuwa wao kina Yericko na Polepole ni sawa kabisa, bora hata Polepole japo si fan wake anaelewa wakati kuliko kina Yericko.
Sasa chadema ndio imesaini ile mikataba ya kinyonyaji????CHADEMA Ilikufa rasmi siku walipobadili gia angani na kumchukua Mr White hair na kumuacha Dr. Slaa
Yeriko is right nyie ndio wakupuuzwa miaka yote taifa linaibiwa mlikuwa kimya mnapiga tu kura za ndio bungeni kwenye miswada mibovu ya kusimamia sekta za madini leo hii mambo yakiwa wazi hamtaki wapinzani watoe maoni yao wakati miaka yote tumekuwa tukipinga huu wizi huku nyie mnashabikia tu!!!!!Wapuuzwe kwa sababu yako? Yaani ndiyo utuamulie tuwapuuze?