+1 hiyo ni USA
---
Iko hivi:
- Waweza nunua na kutumia namba za nje ya nchi yeyote utakayo.
- Bei hutegemea ni huduma ipi unahitaji kwenye hiyo namba na kwa muda gani:
Mfano:
- SMS pekee (kupokea)
- SMS kupokea na kutuma
- SMS + Voice Call
Ukihitaji mifano na kujua zaidi nijulishe.