Polepole: Makubaliano ya Acacia ni bora zaidi kuingiwa huenda kuliko yote duniani

"Maana yake ni 16% + 50% ya faida + Kodi zote kwa mujibu wa sheria + Bilioni 700 za awali na Mazagazaga mengine kibao kwa watanzania"

Hili hata mwehu hawezi kukubali sembuse mzungu na jopo la wataalam.
angetueleza pia ile haki yetu ya kodi ya tra ya TRILLION 400 imefikia wapi?sio wakati wa kuzungumzia bilion 700 tu.....trillion 400 ndizo twasubiri....!!!!!
 
CCM, wanatuona watanzania wote wajinga. Hiki chama lzm kifitinike chenyewe kwa chenyewe. Na huu utawala umekwisha fitinika wenyewe.
 
Mambo ya kiingereza cha boss wake"" confident"" pale Tanga ufunguzi wa bomba la mafuta uganda to Tanzania
 
Hawa wanatuzingua, siku ile walisema ni makubariano ya awali huyu chakubanga nae anasema majadiliano yamekamilika!
 
Huyu chimpanzee ana akili ndogo kuliko wale wenzake! Hizi sura za akina pole pole ndizo zinawafanya wazungu watufananishe na nyani! Yaani kalivyomwaga taarabu hapo juu ni hatareeee! Eti gurudumu la maendeleo,, pumbavuuuuuuu!!
 
Polepole anasema mazungumzo yameisha!!! Wakati huku nasikia kuna kamati ndogo ya trillion 450
 
Jamaa si anapenda kusifiwa sana!, wacha wamuingize chaka kwa sifa za kijinga.
Hivi maprofesa wa nchi hii nani aliyewaroga?
Professorial rubbish!!
 
"Maana yake ni 16% + 50% ya faida + Kodi zote kwa mujibu wa sheria + Bilioni 700 za awali na Mazagazaga mengine kibao kwa watanzania"

Hili hata mwehu hawezi kukubali sembuse mzungu na jopo la wataalam.
Mtoe yule mkalimani haraka sana
 
Back
Top Bottom