GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.

Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-

1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).

Pia soma >> Press za Polepole kwa sasa hazina tija

Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.

Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.

Asanteni na Mungu awabariki.

NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽

Comrade Polepole, hapoi!

Kwenye hii vita ya kupambana na wahuni, tuko pamoja. Ila kwenye ule usaliti wa kuipotezea Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, na pia kununua wapinzani wakati wa awamu ya tano ulipokuwa Katibu Mwenezi wa chama; hakika hatuko pamoja.
 
Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-

1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).

Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.

Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.

Asanteni na Mungu awabariki.

NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽
OK, does it help?
 
Mh Polepole asema pia, Watanzania wanayo haki ya kujua ukweli

Asema ataelezea Kila kitu jinsi gan Rostam Aziz na Genge lake wanavyoitapanya Nchi yetu Kwa Ufisadi huku wakijijengea mizizi Ndani ya Chama.

Mh Polepole ,ameongezea pia, Anajua MKATA SWICHI wa Intaneti anakaa KIMARA , hivo baada ya Tangazo hili, MKATA SWICHI hatorudi nyumbani, kwahiyo kawaomba Watanzania Kua tayari na kujiandaa Leo kwani anaenda Kuvunja vunja Kila kitu !!

View: https://www.facebook.com/share/v/19obK7pWiE/
 
Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.

Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-

1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).

Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.

Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.

Asanteni na Mungu awabariki.

NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽

View attachment 3433387
Huo muda tutakuwa tunaangalia mechi za Taifa Stars. Hayo mazungumzo fanya na wambea wa Chadema!
 
Kwa nini wafanya biashara na wapiga dili wanakimbikia CCM , kinujumla wanakimbilia chama Dola Ili kupata ulinzi wa uhuni wanaoufanya
 
Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.

Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-

1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).

Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.

Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.

Asanteni na Mungu awabariki.

NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 🙏🏽

View attachment 3433387
Gentleman,
kwamba kuna wadau wako serious kabisaa kupotoshwa na mnafiki huyu asie na athari zozote za kisiasa?🐒
 
Back
Top Bottom