Polepole: Kiongozi mwingine mkubwa wa upinzani kuhamia CCM

Status
Not open for further replies.
vyuma vipi? zito, kitilla, slaa, katambi, shonza, n.k wote wamesepa sasa vyuma vilivyopikwa bila shaka kwa akili zako za kuku wa kizungu unamanisha lema, sugu na msigwa kwikwikwi.
Kama walikuwa vyuma kwa nini walikimbia mapambano? Vyuma ni wale bado wapo kwenye mapambano, au unaangalia nini?
 
Saa 3:30 imefika bado nasubiri sijaona kitu. Mie nahisi ni Mrema, Cheyo na Lipumba.
 
Jana tumehabarishwa kuna kiongozi wa Upinzani anahamia CCM, mimi nawaza huenda akawa Dr. Slaa, au la basi ngoja tusubiri japo saa tatu imekwishapita kitambo.
 
hahahaha kazi ya manunuzi ya binadamu inaendelea hakika hii awamu ipo level za chini mno
CCM CHOKA MBAYA.jpg
 
Menye updates nani kahamia ccm azitupie hum fasta maana saa 9:30 imefika kitambo
 
Wacha movie iendelee yetu macho maana wengine wakihamia upande ule mashujaa ila wa upande ule wakihamia kule watumwa hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha
 
Maneno yakujifariji
Faraja gani? Unafikiri maisha yangu yanategemea ruzuku ya chama mpaka nitake faraja ya kisiasa? Nyinyi endeleeni tu kufanya mnada Ila ukweli ni kwamba hamuwezi Kununua "dhamira". Akina Ole Sendeka wako wengi sana humo chamani shida ni kwamba wanaamini bila CCM hawawezi kutoboa... Ila wengi hawampendi [HASHTAG]#atubu[/HASHTAG]
 
Isiwe ni mbunge, uchumi wetu ni tegemezi. Wasiendelee kututia hasara.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom