GE2025 Polepole: CCM tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao

GE2025 Polepole: CCM tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi.

"Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani anajua hizi issue. Sema watu wanawaogopa umenielewa eeh? kwa sababu hawa jamaa wana mbinu nyingi ndiyo maana watu wanawaogopa. Mimi siwaogopi hamna nafasi kwenye chama cha mapinduzi untill it's done" - Humphrey Polepole
 
Hapa ndio nashindwa kumuelewa huyu jamaa, unawezaje kuitofautisha CCM na hao wanamtandao, CCM inayenyewe na wenyewe ndio hao so called Wana mtandao kama yeye hayupo kwenye huo mtandao basi sio CCM huyo.
Uko sahihi
CCM ni mtandao kwa kingereza network
Kama yeye polepole hayumo sio CCM
 
Hapa ndio nashindwa kumuelewa huyu jamaa, unawezaje kuitofautisha CCM na hao wanamtandao, CCM inayenyewe na wenyewe ndio hao so called Wana mtandao kama yeye hayupo kwenye huo mtandao basi sio CCM huyo.
Wahuni wanafanya Chama km kitchen Party yao kumtoa Mwali send Off
 
Inakaribia au ilishatekwa toka zamani!
Ina maana HP pamoja na kukaa kwake CCM hajuia mpaka leo wamiliki wa CCM?

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Maneno matupu hayavunji mfupa
Alipaswa kutuambia after hayo maneno yake ana strategy plan ipi ya kuwazuia hao Wana mtandao

For now everyone knows ccm imeshikwa sana na kundi la wapiga deal Mabwanyenye na sio hivyo tu kundi Hilo Lina wadharau Watanzania sana kitendo Cha mtu kama Seth ambaye ana kashfa kibao za Upigaji kuonekana katika Hafla za ccm Inaonyesha wazi kwamba serikali imewadharau Wananchi wake na Wala haijali kabisa kuhusu maisha Yao na lawama zao so yote hayo tunayajua

So pole pole anapaswa kutuambia what he's planning to do ili kuua Hilo kundi la Wana mtandao au Amechagua kuishia kuwa mpiga zumari tu,

Hizo mbinu za Upigaji zumari zimeshatumika sana Na kina Lissu and the likes but it won't help
 
Hapa ndio nashindwa kumuelewa huyu jamaa, unawezaje kuitofautisha CCM na hao wanamtandao, CCM inayenyewe na wenyewe ndio hao so called Wana mtandao kama yeye hayupo kwenye huo mtandao basi sio CCM huyo.
Siyo kwa kasi hii waliyorudi nayo
 
Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi.

"Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani anajua hizi issue. Sema watu wanawaogopa umenielewa eeh? kwa sababu hawa jamaa wana mbinu nyingi ndiyo maana watu wanawaogopa. Mimi siwaogopi hamna nafasi kwenye chama cha mapinduzi untill it's done" - Humphrey Polepole
View attachment 3440777
Yafaa mtekwe na kuuzwa utumwani kabisa.
 
Huyu nae tushamchoka kila siku anapiga porojo tu, kama hawaogopi si awataje kwa majina wote na alete mkakati gani sasa ameandaa

Sio kila siku anapiga umbeya tu kama mwanamke

Kila siku nawaambia uyu yuko kimkakati kuwafanya watanzania wasahau kesi ya lissu
 
Back
Top Bottom