ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
Ni kweliTanzania sio Ulaya
Ni kweliTanzania sio Ulaya
Shubamiiit wahed huyo chakubanga hata watoto wadogo wanamdharau,yeye amekalia kusema ccm itajenga barabara ya lami,wakti ndio wajibu wao kujenga hizo barabara ukiwa na akili ya chakubanga lazma utakua mchicha mwiba sugu30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa CHADEMA wakiongozwa na Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Moshi Vijijini na Emmanuel Mlaki Katibu wa CHADEMA Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea idadi ya viongozi waliohamia CCM katika ziara ya ndg. Polepole mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.
unataka story ipi ?,ya yule mlemavu alieko Brussels?
Siamini kama kuna mtu ana akili timamu anaweza kujiunga CCM.Wacha watu wale pesa ya Chakubangaakirudi Lumumba amepauka.
Dua la kuku, maneno ya kwenye khanga hayo, mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu eeh!, lugha hizi mkitamkia wengine mnaona faraja Sana, et so special!Huna uwezo wa kujiwekea hata unywele dogo!! uzima ulionao usikupe kiburi mamangu! Kuwa kilema ni sekunde. Barabara unayopita ndo wenzio walipotezea maisha. Gari unayotembelea ndo wenzako walibadilishia majina na kuitwa marehemu! Usijifanye kuwa upo mbinguni unatuchungulia kwa nchini. Kiburi ya uzima hiyo mzee
Kweli ndugu! Nchi za kiafrika hasa Tanzania haya maujinga ndo yamejaa! Ndio mana lichama limetawala miaka 60 na bado nchi iko hoi!HUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Wnyw wenye chadema yetu tunasema polepole bado anapwaya ktk nafas japo anatupga za macho30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa CHADEMA wakiongozwa na Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Moshi Vijijini na Emmanuel Mlaki Katibu wa CHADEMA Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea idadi ya viongozi waliohamia CCM katika ziara ya ndg. Polepole mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.
Wewe tangu upewe ukimbizi wa kudumu basi kazi yako ni kuisifia chichiyemuWenyewe wako Kenya sasa wanamshangilia Uhuru Kenya wakati lichama lao likiporomoka!
Chama ni wanachama. Na wanachama hufuata viongozi( ref: Lowasa movement Ulipo tupo).So ukipata viongozi wazuri tayari una mtaji wa watu.Mimi nikiwa sio mwanasiasa naomba mnijuze
Faida za hao kuhamia CCM ni zipi kwa hicho cama?
Hao wana nini ambacho walio CCM hawana?
Na
Hao wanaohama kwani inamaanisha nafasi zao zitabaki wazi!! Si chama wanachokiacha kitachagua viongozi wengine na hata labda kuwa bora zaidi ya waliowatangulia.. kama wana ujanja wa kufanya hivyo?
Na je kuhama kwao kuingia chama tawala kutasaidiaje wananchi?
Wakihama kutoka kwenye vyeo vyao.. si CCM kuna watu na vyeo vyao vya levo hiyo tayari au?
Nazidi kuwa mshamba wa haya ya kuhamahama mwananchi mimi?
Na mengine yapi anayafanya Polepole ya kufurahisha wananchi katika maisha yao.
Hao wanaohama wana nguvu gani kufanya wananchi wasio shabikia CCM kutaka kujiunga nao au hata kuwapigia kura wa chama hicho.
Naamini mnaojua siasa mtanisaidia kuelewa.
Mwenye kideo nitafurahia kuona kilichojiri.. nimeanza kutamani kuona inavyokuwa na wanaongea nini.
Kwa hiyo unamlaunu nani..laumu hao wanaohama..!! Lakini hiyo ndio demokrasia wewe unataka uwalazimishe kukaa na mafisadi mpaka lini ???? Usidhani hao hawana akili. Ni watu wazima na familia zao...kalagabaho..!!! Kaa na ujinga wakoHUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Hawaelewi wengine..wanataka sijui walazimishwe kukaa na watuhumiwa wa ufisadi na mafisadi..waambie wamsikilize Dr Slaa...ambaye alikuwa chadem asilia...sio hili chadem mfu lililopo sasaChama ni wanachama. Na wanachama hufuata viongozi( ref: Lowasa movement Ulipo tupo).So ukipata viongozi wazuri tayari una mtaji wa watu.
Utabaki hivyo hivyo ukiwaza mabilioni..ukistuka watu wanachanja mbuga tuuKatumia bilioni ngapi?