Polepole aubomoa upinzani Kilimanjaro

Polepole aubomoa upinzani Kilimanjaro

Mkuu wakati wenyewe wanajifanya kumiliki jukwaa kwa matusi na kejeri, sisi tunaokota embe dodo kiulaini.

Kila mkoa unatakiwa viwanda 100, ikiwemo kufufua vilivyokufa. Ingependekeza baada ya kupokea wanaohama angeenda kuzindua viwanda na kuahidi watu waamkie keshi yake kwenye ajira ya hivyo viwanda. Sasa hv kuhama hakuna mzuka tena.
 
Viwanda vinaanzishwa na kufunguliwa baada ya kukamilika, ukitaka kufahamu hili nenda tovuti ya wizara ya viwanda na biashara for more details, (strategic plan)
 
sijui umri wako...
kama umeiga ufipa maana unawapenda.
kama unachukua wanachama wa chama kingine, maana yake wana maana kuliko wa kwako!!!
Na huo ndiyo ukweli waambie. Mwenye viongozi waledi na watendaji wazuri hawezi kila siku mguu kwa mguu kutafuta viongozi wa vyama vingine. Hata sasa wa kugombea uongozi ni lazma watafutwe kwenye vyama vingine. Wote walionao ni makapi.
 
Chadomo inakufa kwa kasi kubwa kuliko ile ya act Hehehe zitto walikua wanasema dhambi ya usaliti hii sijui watasema ni dhambi gani
 
Wenyewe wako Kenya sasa wanamshangilia Uhuru Kenya wakati lichama lao likiporomoka!
akili zako znakutosha kuvuka lami tu
yaan mwenykt wa jimbo kuhama ndio iyumbishe cdm?,slaa alihama sembuse hao kunguni?
kweli chizi sio lazma aokot makopo
 
Kila mkoa unatakiwa viwanda 100, ikiwemo kufufua vilivyokufa. Ingependekeza baada ya kupokea wanaohama angeenda kuzindua viwanda na kuahidi watu waamkie keshi yake kwenye ajira ya hivyo viwanda. Sasa hv kuhama hakuna mzuka tena.
Hehehe mnatafuta shimo la kujificha mambo ya viwanda ni ya Serikali Pole2 kazi yake ni kuiua chadomo kila pahala hiyo ndio kazi inayompa kula ulitaka ajenge viwanda amekua Waziri?
 
Viwanda vinaanzishwa na kufunguliwa baada ya kukamilika, ukitaka kufahamu hili nenda tovuti ya wizara ya viwanda na biashara for more details, (strategic plan)
Tz hata ukioa unahesabika una kiwanda cha kuzalsha watu. Real shithole country.
 
Akili za kushikiwa, kila kitu shithole,utafikiri wewe unaishi sayari nyingine.
Jahazi linazama hilo kwa upumbavu wenu wa kutotaka kushaurika, much know, more understanding for nothing
 
Viwanda vinaanzishwa na kufunguliwa baada ya kukamilika, ukitaka kufahamu hili nenda tovuti ya wizara ya viwanda na biashara for more details, (strategic plan)

Hamna jipya kwenye hiyo tovuti ni siasa tu.
 
Hehehe mnatafuta shimo la kujificha mambo ya viwanda ni ya Serikali Pole2 kazi yake ni kuiua chadomo kila pahala hiyo ndio kazi inayompa kula ulitaka ajenge viwanda amekua Waziri?

Sorry sikujua kama ni waziri anajenga. Weka picha ya kiwanda cha waziri yoyote hapa.
 
Back
Top Bottom