Kwani tuko Ulaya au Marekani?HUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Ok hapo sawa mkuuWilaya ya moshi
Acheni hii tabia ya kuwaita viongozi wenu wafa njaa au takataka.Nilivyoanza kusoma nilijua Mbowe kahamia CCM kumbe ni hao wafa njaa. Waacha waende.
unafikiri uchaguzi tumeiga wapi???Kwani tuko Ulaya au Marekani?
Yes anaendelea.Wacha watu wale pesa ya Chakubangaakirudi Lumumba amepauka.
Kwahiyo.HUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
ufipa.unafikiri uchaguzi tumeiga wapi???
Viongozi wake nani???? Sema Viongozi wenu.Acheni hii tabia ya kuwaita viongozi wenu wafa njaa au takataka.
haya maswali anajiuliza aliekomaa...Mimi nikiwa sio mwanasiasa naomba mnijuze
Faida za hao kuhamia CCM ni zipi kwa hicho cama?
Hao wana nini ambacho walio CCM hawana?
Na
Hao wanaohama kwani inamaanisha nafasi zao zitabaki wazi!! Si chama wanachokiacha kitachagua viongozi wengine na hata labda kuwa bora zaidi ya waliowatangulia.. kama wana ujanja wa kufanya hivyo?
Na je kuhama kwao kuingia chama tawala kutasaidiaje wananchi?
Wakihama kutoka kwenye vyeo vyao.. si CCM kuna watu na vyeo vyao vya levo hiyo tayari au?
Nazidi kuwa mshamba wa haya ya kuhamahama mwananchi mimi?
Na mengine yapi anayafanya Polepole ya kufurahisha wananchi katika maisha yao.
Hao wanaohama wana nguvu gani kufanya wananchi wasio shabikia CCM kutaka kujiunga nao au hata kuwapigia kura wa chama hicho.
Naamini mnaojua siasa mtanisaidia kuelewa.
Mwenye kideo nitafurahia kuona kilichojiri.. nimeanza kutamani kuona inavyokuwa na wanaongea nini.
Kwani sijasema viongozi wenu?Viongozi wake nani???? Sema Viongozi wenu.
sijui umri wako...ufipa.
sio swali langu..Sio mlemavu?
Kumbe hujui nguvu ya wanachama katika chama cha siasa? Pole.Mimi nikiwa sio mwanasiasa naomba mnijuze