thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,114
Mkuu ,ubishi ni asili yenuHamna jipya kwenye hiyo tovuti ni siasa tu.

akili zako znakutosha kuvuka lami tu
yaan mwenykt wa jimbo kuhama ndio iyumbishe cdm?,slaa alihama sembuse hao kunguni?
kweli chizi sio lazma aokot makopo
Mkuu ,ubishi ni asili yenu
haya maswali anajiuliza aliekomaa...
Kumbe hujui nguvu ya wanachama katika chama cha siasa? Pole.
Kujua kuwa mtaji wa chama ni wanachama sio lazima uwe na chama.Mimi sio mwanachama wa chama chochote
Na najua mwanachama anaweza pia akaamua kupigia kura chama kisicho chake.
Hii ni habari kwa waTanzania30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa CHADEMA wakiongozwa na Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Moshi Vijijini na Emmanuel Mlaki Katibu wa CHADEMA Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea idadi ya viongozi waliohamia CCM katika ziara ya ndg. Polepole mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.

Unadhani america au ulaya wamesikia kuwa polepole kaibomoa cdm kilimanjaro?HUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Hao wanajielewa ndugu ila hapa kwetu hira, mbinu chafu zinafanywa na chama cha kijaniHUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Ndio viwanda hivyo!30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa CHADEMA wakiongozwa na Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Moshi Vijijini na Emmanuel Mlaki Katibu wa CHADEMA Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea idadi ya viongozi waliohamia CCM katika ziara ya ndg. Polepole mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.
Akili za kushikiwa, kila kitu shithole,utafikiri wewe unaishi sayari nyingine.
Jahazi linazama hilo kwa upumbavu wenu wa kutotaka kushaurika, much know, more understanding for nothing

Hii siyo story tena. Halafu natamani mngewajua watu wa Kilimanjaro wakoje hamnge weka huu ujinga hapa30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa CHADEMA wakiongozwa na Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Moshi Vijijini na Emmanuel Mlaki Katibu wa CHADEMA Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea idadi ya viongozi waliohamia CCM katika ziara ya ndg. Polepole mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.
Kujua kuwa mtaji wa chama ni wanachama sio lazima uwe na chama.
30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa CHADEMA wakiongozwa na Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Moshi Vijijini na Emmanuel Mlaki Katibu wa CHADEMA Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea idadi ya viongozi waliohamia CCM katika ziara ya ndg. Polepole mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.
mh jamanKama ukiweza kushawishiwa na huyu msemaji wa ccm basi we huna akili kabisa
Tanzania sio UlayaHUWEZI KUSIKIA AMERIKA AU ULAYA CHAMA FULANI KIMEBOMOA CHAMA KINGINE..
Ni kweliUlishabomoka limebaki vumbi tu