30 Januari 2018
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg.Polepole akiwa kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu Wilaya ya Moshi Vijijini, Viongozi wa vyama vya upinzani 17 Moshi Vijijini wameomba kujiunga na CCM.
Viongozi 9 wa CHADEMA wakiongozwa na Ekarise Kiwia Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Moshi Vijijini na Emmanuel Mlaki Katibu wa CHADEMA Wilaya la Moshi Vijijni na katibu wa Jimbo la Vunjo.
Viongozi watano (5) wa NCCR wakiongozwa na Stanley R. Temba Katibu wa NCCR Vunjo pamoja na Viongozi watatu (3) wa TLP wakiongozwa na Kawawa J. Rubega Katibu wa Jimbo la Vunjo
Kikao cha Halmashauri Kuu ya wilaya ya Moshi Vijijini kimewakubalia na kuwapokea ndani ya CCM.
Hii imepelekea idadi ya viongozi waliohamia CCM katika ziara ya ndg. Polepole mkoa wa Kilimanjaro kufikia 89.