and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
Wewe ni mmoja ya wasiojulikana maana wewe ni mtu usiyependa ukweli, kwako mkweli lazima auawe tu.Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
Kwani amesema anaihitaji?Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
Arudishe Kwa ajili ya nn?He must be crazy.
Arudishe na mali zote alizopata kipindi hicho
Unampa ushauri au amri? Ww kama nani?Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
Wewe paspoti ya Polepole inakuhusu nini? Unawashwa washwa.Anaporipoti anajua yeye mwenyewe. Wewe unawashwa. Ebu kalale fala wewe.Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
Ulishaenda kupima akili yako, kama inayo akili? Au hujui mahali pa kuenda kupima?Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
Wewe nani unaye shidwa kukemea watu kuuwawa unayeshindwa kuwaambia ccm wezi wa mali za umma sawasawa na report ya CAG wawajibike unakimbilia kwa mtu anaye onyesha madudu yenuChap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
Kalipwa elfu 7 aingie mtandaoni huyo. CCM hawana jipyaWewe nani unaye shidwa kukemea watu kuuwawa unayeshindwa kuwaambia ccm wezi wa mali za umma sawasawa na report ya CAG wawajibike unakumbilia kwa mtu anaye onyesha madudu yenu
Tatizo la vilaza ni kufikiri kila mtu anaishi kwa hisani..Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa
Huna namba zake uwasiliane naye umwambie?Chap kwa haraka. Arudishe passport tajwa