Polepole arudishe diplomatic passport

Polepole arudishe diplomatic passport

Hiyo sio kazi yake kuirudisha pasi ya kusafiria ni mali ya serikali hivyo kama serikali imeona ana makosa ndio wanaweza kuichukua ila sio yeye kuirudisha.

Na labda katika condition huko alipo akiwa declared persona nonn grata.

Hayo yote hayajafanyika na hadhi ya ubalozi bado anayo ila hayuko katika kituo cha ubalozi.
 
Hana sifa/hadhi ya kutumia passport tajwa. Anajificha kama digidigi
kupnekana hadharani nayo ni sifa ya kuwa na diplomatic passport? jibu kama mtu mwenye AKILI TIMAMU na siyo CHAWA
 
Back
Top Bottom