Polepole apuuzwe, tuliosoma naye tulimuita Polisi/Usalama

kuan
Nilipata One point kumi O level,

Na one point 3 A level

GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters

Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
kuandika kwenye vikaratasi gpa 4.6 na 5 haitoshi...hata debe tupu likiguswa hutoa mlio Tena mkubwa !!!
 
Ushalipwa 7K yako na wanamtandao uje upost ujinga huu
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
🥺🥺🥺🥺😀😀😂😂😂😂😂
FB_IMG_1755916364478.jpg
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Kwa hiyo kwa sababu aliripoti tabia zako za wizi ndo sisi tumpuuze!
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Kama "best mind" za, ccm ni Gerson Msigwa, Makala nape, samia, na, hawa, ndio vilaza kuliko u kilaza wenyewe,
Wewe je utakuaje?
Kuanzia ikulu, jeshi ni, polisi(hawa, ndio, mburula kabisa), wapo, sycophants(machawa, ass kissers),
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Kuna kitu gani alichosema wewe unaona kinapaswa kupuuzwa.
Wewe unasemaje kuhusu hicho cha kupuuzwa?
Kati yako na yeye nani tumuamini?
 
Nilipata One point kumi O level,

Na one point 3 A level

GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters

Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Eeeh zimekusaidia nini? Maana naona kichwa imejaa ujinga
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Wewe ndiyo wa kupuuzwa.selikali ndiyo yenye wajibu wa kujitokeza hadharani na kutuelezea tuhuma hizo zilizotolewa.
 
Nilipata One point kumi O level,

Na one point 3 A level

GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters

Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Makaratasi yanayoitwa vyeti sio akili. Akili huwa ni wewe mwenyewe bila hayo makaratasi...
Ushahidi ni namna ulivyoshindwa kujenga hoja yako ukiwa wewe kama wewe bila hayo makaratasi. Kimsingi hakuna chochote cha maana ulichoandika.
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Chai
 
Badala ya kujibu hoja, mnashambulia personality yake..!!
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu

Msituchoshe:

IMG_20240428_070927.jpg

Wahaini kwao korokoroni!
 
Toa mbadala wake sasa, maana unasema apuuzwe pasipo kusema sababu za msingi za kumpuuza. Huenda wewe una shida kubwa zaidi kuliko yeye. Kama alikuwa anaongea upuuzi kulikuwa na haja gani ya mitandoa yote ya social media kuwa paralized? Hii ya leo inaonesha tuna madudu mengi sana na hatupendi watu wayaongee ndio maana mifumo ilipigwa chini. Ni aibu sana kama, na tumelisababishia hasara Taifa.
We mburukenge jiburudisheni na huyo kibichwa aliyechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom