Polepole apuuzwe, tuliosoma naye tulimuita Polisi/Usalama

Nilipata One point kumi O level,

Na one point 3 A level

GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters

Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Nyooooo, uwe na akili hiyo alafu uwe MwanaCCM Tena anayefurahia Utekaji na Mauaji??.

Pumbavuuu, ukweli ni kua ni WATU WAJINGA MA WAPUMBAVU TU NDIO HUFURAHIA MATENDO YA UOVU KWA WENGINE.

Kama kweli ulipata huo Ufaulu, weka hapa picha, alafu namm nitakupa Matokeo yangu ya Kidato Cha Nne, Chasita PCB, Matokeo ya Chuo Kikuu, na Matokeo ya Post internship yangu.
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Ni upuuzi wenu vijana kulinganisha mtu wa jana na leo. Binadamu tunabadilika kila wakati. Ni kitu kisichokuwa na uhai unaweza kukilinganisha kwa nyakati tofauti. Hata mnyama wa jana si wa leo
 
Hatuhangaiki na usafi wake, tunatizama anachozungumza ni sahihi ama si sahihi!?
Vipi kama katubu jana !?
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Kuna mambo ya kupuuzwa ila siyo hayo, mtu aliyeshiriki anakueleza hivyo unataka Mungu amlete nani ili uamini? Walioko madarajani hawapuuzi wenzao,wengine hutekwa hadi kuuawa.l kwa ajili ya madaraja tu.Wafanye mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi ili waaminiwe.
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Mwaka gani
 
Tunaanza kukupuuza wewe kwanza halafu tutaona kama tufuate kwako ama laa!
 
Nilipata One point kumi O level,

Na one point 3 A level

GPA ya 4.6 UG (UDSM) na 5 GPA Masters

Sijajua mwenzangu ulipataga ngapi?
Nikuulize tu.Je,alichoongea Polepole kwa akili yako unaona ni uongo, hakina mantiki wala maslahi yoyote kwa taifa na kinapaswa kupuuzwa?
 
Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu.

Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi.

Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua.

Apuuzwe tu
Ona hili nalo sijui la wapi Mlimuita hivyo ili iweje? Umbea na roho mbaya tu. Au alikugongea dada yako?
 
Back
Top Bottom