Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Alikuwa hajaenda Cuba kuijua hiyo beiYeye mwenye akili kipindi baba yake magufuri akiwa madarakani gesi tulikuwa tunanunua sh ngapi?
Hata nchi za Scandinavia kama vile Sweden ni nchi za kipebari ila kuleta ahueni kwa raia zime-incorporate sera za kijamaa kwenye ubepari huo (strong socio-economic policies)Tz ni taifa la kibepari ujamaa uko midomoni mwa wana siasa tu kwa ajili ya kuteka akili za watu wapumbavu.
Cha kwako ni km kinyesiVichwa kama chako ni moja ya mabomu yenyewe! Any way Tanzania unauzwa 67000 TSH. Hiyo 55000 ni bei ya 2019
kwa mantiki hii si bora tuwe wajamaa sasaPolepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Nikuzo pigs block tuNaona hii wiki ID mpya ni nyingi, na zote zimekuja na agenda moja😊😊
Tanzania ni lini umejitangaza kuachana na ujamaa?1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi
Unadhani atatoa utetezi upi mwingine ili amfurahishe Boss wake?. Hapa ndio kajipinda kweli kweliMbona mzee unaandika uhalisho na hafu kama uelewi kwamba hapa Tanzania sisi wenyewe tunachimba gesi, Nyie ni miongini mwa mnaolipwa ela za Bure kabisa kumtetea mama, Kwa utetezi huu ningekuwa bosi wako ningekufuta kazi.
Soma katiba yetu ya nchi Sura ya Pili ibara ya Tisa kuhusu muongozo wa siasa zetu za nchi juu ya Ujamaa na Kujitegemea. Nakuwekea na link ya katiba. Sisi ni wajamaa kwa nini hatuuziwi gesi sh. 2000/-1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
Wewe ni sehemu ya watu wanaopenda waTZ waendelee kuwa maskini, hizi hoja zako zinasisitoza kwanini mtungi wa gesibTZ bei iwe juu na isishuke.Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Pole pole amesema mtungi mmoja sawa na sh 2000 za Tanzania,Safi sana kaka kwa ufafanuzi wa mpotoshaji Polepole
Tupe bei halisi Sasa ya gesi huko Cuba ni shilingi ngapi?Cuba ina uchumi unaodhibitiwa na serikali, na gesi ya kupikia mara nyingi huuzwa kwa bei ya ruzuku kwa wananchi. Hata hivyo, hata kwa ruzuku, ni vigumu sana kwa bei ya mtungi wa kilo 20 kuwa chini hadi TZS 2,000, kwani hii ingekuwa chini ya gharama za uzalishaji na usambazaji wa gesi hata katika soko la kimataifa.
Natamani nikukande makofi yakuamshe bongomende lako wewe....nyie ndo mnatufanya hata muumba asijue na kutujibu our problemPolepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa