ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,807
- 60,666
We ndo kilaza umeharibu kabisa amekwambia unauzwa 2000 Tanzania shilling na sio hela ya quba..mataqo yako wewe na mtoa Uzi wote vilazaHii nchi imejaa vichwa pumbu na mambulula
Ndio maana kuna manabii wengi sana wanakula helazao...
Unaweza kutokea na kuanza kutapika upupu halafu, mifyongo inaamini unachosema na kukufuata
Huyu kichwa pumbu polepole anapita mulemule...
Tuanze na exchange rate ya I cuba peso ni Tsh 104
Kwa hiyo peso 2000 ni Tsh 208,789.
View attachment 3458256
Tuje kwenye gesi ya kupikia...
Mtungi wa kupikia, una uzwa kwa bei ya chini kabisa ni 35,000 pesos kwa lita 40
Gawanya mara mbili kwa lita 20, ni 17250 pesos...
Kwa Tsh hizo lita 20, kwa Cuba ni sawa na Tsh 1,800,811.20....kubababakeee...
Huyo kichwa pumbu aliwawekea ushahidi wa hizo bei za gesi huko Kyuba...?
View attachment 3458264
Wewe mida hii umelewa, nakupuuzaaa...We ndo kilaza umeharibu kabisa amekwambia unauzwa 2000 Tanzania shilling na sio hela ya quba..mataqo yako wewe na mtoa Uzi wote vilaza
🤣 🤣 🤣 🔊Ingekuwa kafara unakubali yeyote wallah wiki hii ningekuwa nshaweka oder ya mabus ya kisasa maana nisingekubali watu kama wewe muendelee kupumua ulimwengu huu huku mkiwaza makamasi kichwani.
Ulio kuwa unaunganishwa kwa 27000 ni umeme wa REA tu ambao hasa ni mahususi kwa ajili ya vijijini na mpaka sasa ndo bei.Kulinganisha umeme ilikuwa 27,000TZS tu.
Sasa 300,000 na kitu.
Lengo umeme utumike zaidi. Msikilize vizuri utamuelewa.
Tanzania ni socialist ideology , mpaka sahizi ulivyoandika uharo wako huo........
au twambie ni lini tumekuwa wabebari au uchumi mchanganyiko
SafiView attachment 3458269
ILANI 2025
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu
Kuandaa mkakati wa matumizi ya teknolojia mpya (AI, roboti, blockchain, setilaiti).
Kupanua matumizi ya TEHAMA kwa wananchi vijijini na mijini.
Kuanzisha na kurusha satelaiti za mawasiliano na utafiti.
#kazinaututunasongambele
Dah!!! Safi sana inavutia mnoView attachment 3458269
ILANI 2025
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu
Kuandaa mkakati wa matumizi ya teknolojia mpya (AI, roboti, blockchain, setilaiti).
Kupanua matumizi ya TEHAMA kwa wananchi vijijini na mijini.
Kuanzisha na kurusha satelaiti za mawasiliano na utafiti.
#kazinaututunasongambele
Hadi DSM watu walilipa hiyo 27000 kabla Samia na Januari hawafuta.Ulio kuwa unaunganishwa kwa 27000 ni umeme wa REA ambao hasa ni hususi kwa ajili ya vijijini na mpaka sasa ndo bei.
Na huo mradi wa REA ulibuniwa na kikwete na sio magufuri.
Vichwa maboga kama hivi ndivyo vinasababisha tupuuzwe na Wakenya! Kichwa chako mkuu kimehifadhi makamasi wala siyo ubongo.Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa
TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.:
1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market based),gharama za uagizaji na kodi za ndani.
2.Cuba inachukua gasi kutoka kwa mshirika wake Venezuela kwa mkataba wa muda mrefu wenye masharti naafu,ila Tanzania haina mikataba mikubwa ya kupunguza gharama za gasi kama OPEC Asia.
3.Tanzania inategemeea UMEME kama nishati dumu kuliko gasi ambayo hutumiwa sana na Cuba, hivyo huifanya iwe nauhuitaji kwa jamii ndo maana upelekea kuuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na nchi nyingine.
#kurayakwanzakwasamia
#haijapatakutokea
Acha upotoshaji mradi wa REA ulianzishwa na kikwete kwa lengo la kuwawezesha wanachi wa vijijini kupata umeme lakini mradi huu watu wa watu wa mijini ulikuwa hauwahusu.Hadi DSM watu walilipa hiyo 27000 kabla Samia na Januari hawafuta.
Hao wakenya wanao tupuuza bei ya gesi ni mara mbili ya kwetu.Vichwa maboga kama hivi ndivyo vinasababisha tupuuzwe na Wakenya! Kichwa chako mkuu kimehifadhi makamasi wala siyo ubongo.
Ona hili nalo?Acha upotoshaji mradi wa REA ulianzishwa na kikwete kwa lengo la kuwawezesha wanachi wa vijijini kupata umeme lakini mradi huu watu wa watu wa mijini ulikuwa hauwahusu.
Baada ya samia kuingia madarakani yeye ndo aliye tangaza kuwa bei ya kuunganishia umeme iwe 27000 nchi nzima bila kujali ni REA au umeme wa kawaida lakini baada ya mwaka waliifuta na kurudisha utaratibu wa zamani.
Samia alitekeleza mipango iliyopo na akaifuta.Acha upotoshaji mradi wa REA ulianzishwa na kikwete kwa lengo la kuwawezesha wanachi wa vijijini kupata umeme lakini mradi huu watu wa watu wa mijini ulikuwa hauwahusu.
Baada ya samia kuingia madarakani yeye ndo aliye tangaza kuwa bei ya kuunganishia umeme iwe 27000 nchi nzima bila kujali ni REA au umeme wa kawaida lakini baada ya mwaka waliifuta na kurudisha utaratibu wa zamani.
Muwe mnajaribu kupinga mambo kwa fact na sio matusi.Ona hili nalo?
Kama mipango ipi?Samia alitekeleza mipango iliyopo na akaifuta.
27,000 kuunga umeme.Kama mipango ipi?
Hivi ww jamaa uko sawa kweli nisiwe najadiliana na kichaa hapa ?27,000 kuunga umeme.