Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar

Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga

2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze

Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu

2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro

Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini

Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar

2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar

3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar

4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
 
What are you afraid to lose bruh 😁😁😁

Wewe unajuaje kama anataka kusema mabaya ya ccm , labda anataka kukisifia chama na kama chama hakina Ubaya wowote ule kimefanya mambo mazuri Kwanini mnaogopa press ya pole pole !?

Au umesahau kuwa kizuri Chajiuza , !?
Kama mabaya hakuna na Kuna mazuri tu Yaliyo fanywa na chama chenu simply tu hata pole pole aseme nini si- mazuri yenyewe yatajibu hoja Kwa Wananchi Kwa kusema Pole pole ni Muongo mbona ccm ilifanya mazuri haya na haya ,
so you just chill acha kupaparika
 
Mzee Andy unaiabisha familia ya yule Mzee wetu tunayemheshimu nafikiri huko aliko kama anaona yanayoendelea huku na kauli yako hii anajiuliza kama kweli wewe ulikuwa bao lake au alibambikiwa.
Yaani wengi mmeshindwa kumsoma dingi na kumuelewa
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba.

Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu.

Bado kuna loose ends which have to be tied up.

Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.

Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti.

Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation.

Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive,anauliza, kwanini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Badala yakujibu hoja mnakimbilia amani nonesense kabisa CDM wanaingia vipi hapo namambo yenu yakisisiemu? Wanaovuruga amani ndio wanaodaia kulinda amani haya ninmaajabu kwakweli

No reform No Election
 
Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar

Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga

2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze

Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu

2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro

Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini

Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar

2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar

3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar

4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
"follow the money & power"
 
Wajuba msiwe na wasiwasi wa kuvurugwa kwa amani ya nchi. Watanzania hawana mihemko ya kisiasa hata wanasiasa na wanadini waseme nini hupotezewa tu. Ma GZ wenyewe wako mpirani na kubeti, njaa ni kali wanahangaika nayo muda wa kufanya riot haupo. Acheni wanasiasa wapasue mbarika tujue wapi pana uozo nyakati zipite, hakuna haja ya kuhofia wapasua majibu kwani amani ipo na itaendelea kuwepo
 
Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar

Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga

2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze

Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu

2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro

Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini

Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar

2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar

3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar

4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
"Mtanikumbuka"
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Km unajianini,una hofu ya Nini?
Amani ipi unayoongelea? Kujipa vyeo na nafsi huku miiwabana wengine na kuwanyima haki zao?
 
Hakika pamoja na mapungufu yake angekuwepo huu upuuzi tunaouona Leo usingekuwepo
Kuna jamaangu mmoja alikua anamponda sana Mwamba. Sasa mwaka Jana nilimuuluza Ni mkubwa anaupiga mwingi? Alinitukana sana jamaa. Sasa Tena Jana nimemuuliza vip nchi Yako imefunguka Kwa sera zile za kuutandika Mwingi, jamaa akakiri hakua sahihi kumsema vibaya Mwamba. Mwamba alikua mzalendo hamna wa kumpima nae.

Watanzania wengine tumejaa ushabiki usio na hoja. Yaan ni Bora liende tu, Ili mradi na sisi tumo.
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Nasimama na Humphrey Polepole kupinga uhuni, utekwaji, uteswaji na mauaji ambayo serikali dhalimu ya MamaSamia2025 imeyafumbia macho
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Kama anavuruga si akamatwe na kushitakiwa? Kwa nini waguswe nduguze?
Tujizuie kuwa wajinga, Bishop Gwajima mmesema hivyo hivyo matokeo yake watu baki [waumini] ndio wanazuiwa kumwabudu Mungu wao wakati anayetuhumiwa 'kuvuruga' amani ya nchi [Gwajima] anadunda mtaani!
Tutumie akili zetu vizuri, tuwafundishe na kuwaachia wananchi wapembue kati ya mchele na chuya, hivi bado mnaamini wananchi bado .

Vv
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
stupid
 
Mbona mnavunja katiba yenu kwa maslahi ya watu wachache na hamna anayewauliza?

Muacheni yy aongee ni haki yake!
 
Back
Top Bottom