amani ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Zambia aliyeonesha dharau kwa Tanzania afuatiliwe anachafua nchi yetu anatumiwa na wasiopenda Amani ya nchi yetu.

    "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli katika demokrasia. Wale wanaofikiri wanaweza kutumia mbinu zilizotumiwa na Tanzania, hawawezi...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa mtindo huu wanasema wanarinda Amani ya nchi alafu mseme nchi ni salama mnaelewekaje kwa mtazamo.

    Ni aibu sana sana kusema nchi ina haki na domo crazy maana sio democracy mnayo sema ina tawala kwa haki. Leo tarehe 7/7 mnaweza kusema mumeweka amani hapa mfano kariakoo kuwa watu waendelee na shuguli zao
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CCM Geita: Maandamano ya Julai 7 Yanaweza Kuhatarisha Amani ya Nchi

    Kelele za Oktoba, 2025 zimerudi tena za kuhubiri amani amani! Acha inyeshe tena tuone panapovuja ======== Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimewataka Watanzania kutoshiriki maandamano yanayodaiwa kufanyika Julai 7, kikisema hatua hiyo inaweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu tumekuelewa, tutailinda amani ya nchi zaidi ya nyeti zetu

    Heko kwako kiongozi mchapakazi, msema ukweli na mzalendo wa kweli wa nchi yetu, Tanzania, Daktari Mwigulu Nchemba. Kila mahali unapopita tunakuelewa. Sisi wananchi, wakulima na wafugaji hatuna faida yoyote tunayoweza kupata kwa hawa wanaharakati uchwara wanaotaka kutugombanisha wenyewe kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi anaevunja amani ya nchi ni nani hasa; yule anaetaka haki yake ya kikatiba ya kuandamana kwa amani au yule anaekataa katakata kumruhusu aandamane?

    Yaani imefikia kwamba katika uongozi wa Raisi Samia na CCM yake, wao wakisikia tu maandamano wanatafsiri kuwa ni uvunjifu wa amani. Hata siku moja sijasikia wakisema tutalinda amani ili kuhakikisha watu wanaandamana bila vurugu. Raisi Samia na viongozi wote wa serikali na CCM, maandamano yeyote...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: hatutafanya mzaha na anayetaka kuvuruga amani ya nchi

    DKT. MWIGULU: HATUTAFANYA MZAHA NA ANAYETAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kulinda amani, usalama wa wananchi na rasilimali za Taifa na haitamvumilia mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo vinavyohatarisha usalama wa nchi. Ametoa kauli...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Waasisi wa Taifa letu waliwafukuza mabeberu ili ku-mantain Tanzania's sovereignty leo chadema wanawatumia mabeberu ili kuhujumu Tanzania's sovereignty

    Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa. Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
  8. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Uzi wangu wa kufungia mwaka: Umuhimu wa kuepuka uchochezi,vurugu na Amani ya nchi

    My people, Amani ya nchi ni kama hewa tulivu inayowezesha maisha kusonga mbele bila msukosuko. Bila amani, maendeleo husimama, hofu hutanda, na ndoto za wananchi hukauka kabla ya kuchanua. Ndiyo maana kuepuka uchochezi na vurugu si jambo la hiari, bali ni wajibu wa kila raia mwenye kujali...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo: Nawasihi vijana msishiriki vurugu kuharibu amani ya nchi yetu, kwanini ushambulie jitihada za Rais Samia?

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa...
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii propaganda ya Watu wanalipwa kuharibu amani ya nchi ni Kuwafanya wananchi kwamba Hawajui haki zao, ni mazuzu?

    Ukiacha hii Propaganda za watu wanalipwa kuaribu amani ya nchi ni propaganda ambayo sasa imezoleka kwa wananchi ambayo utumiwa na viongozi ukwepa kuwajibika au kuwajibishwa kwenye makosa yao...
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hata Mungu hawezi vumilia huu uhalifu wa kutaka kuivuruga amani ya nchi

    Nimeona watu wengi wakitamka kuwa Mungu atalipa kwa yaliyotokea baada ya uhalifu uliofanyika. Mimi kama mkristo ninayeijua biblia vizuri niwakumbushe tu kuwa waliofanya uhalifu kuanzia siku ya uchaguzi ni kuwa Mungu pia hafurahishwi na huo upuuzi. Mungu hutoa adhabu kali sana kwa watu kama hao...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Mkumbo: Huwezi kuzungumzia Utanzania bila kuzungumzia amani

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema Utanzania hauwezi kuzungumziwa bila ya amani, akiwasihi Watanzania kumuomba mungu ili kuepuka kuizoea amani kiasi cha kupelekea kuipoteza. ‎ Prof. Kitila amezungumza hayo akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Marwa Kisyeri: Msidanganyike kuvuruga amani ya nchi na kutojihusisha na maandamano yasiyo na tija

    Amani inazidi kupigiwa debe kila kukicha. Na jeshi la polisi wakiwa msatari wa mbele sana kipindi hichi. Uchaguzi ukiisha hapa hizi bwebwe zote kwisha ================== Mkaguzi Msaidizi wa Kata Bulongwa wilayani Makete Mkoa wa Njombe Marwa Kisyeri Oktoba 24,2025 ametoa elimu kwa vijana...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Othiman: Wanaowanunua watu wanaohubiri amani wana pesa kiasi gani hao?

    Nimemsikiliza huyu Sheikh kwa utulivu sana! Amezungumzia ishu kubwa ya amani ambayo imeshakuwa wimbo kama wa taifa kwa viongozi na baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini pia. Lakini yeye amehoji kwamba kila anayehubiri amani basi ataambiwa amenunuliwa. Ishu si kuhubiri amani, bali pia nchi...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Hamis: Amani ni kama yai; likivunjika ni ngumu sana kulirudisha, mataifa mengi ya Afrika yaliyopoteza amani, na sasa wanajuta

    Kiongozi Mkuu wa Taasisi ya Twariqa Tanzania, Sheikh Said Hamis Migire, amesisitiza umuhimu wa kudumisha amani na utulivu kabla, wakati, na baada ya uchaguzi mkuu, akifananisha amani na yai ambalo likivunjika ni vigumu kulirejesha. Akizungumza usiku wa kuamkia Oktoba 24, 2025, katika dua...
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Tarime: Bodaboda dumisheni na kuilinda amani ya nchi hii

    Miongoni mwa kundi lililopewa elimu na jeshi la polisi kipindi hichi cha uchaguzi basi ni bodaboda. Yani sijuwi wameona kwamba ni rahisi kutumika na wanasiasa au vipi? ================= Afisa Mnadhimu Mkoa wa Polisi Tarime Rorya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Joswam Kaijanante amewataka...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Kakulukulu: Amani ndiyo nguzo ya maendeleo. Hakuna maendeleo bila amani, hivyo tuilinde

    Viongozi wa dini mkoani Katavi wamekutana katika kikao maalum kujadili hali ya amani na mshikamano wa Watanzania, wakitoa wito kwa wananchi kuendelea kudumisha umoja na amani, hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Wakizungumza kwa pamoja, viongozi hao wamesema...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Insp. Canatus: Wananchi, msikubali kudanganywa na kuvuruga amani ya nchi yetu

    “Wananchi, msikubali kudanganywa na kuvuruga amani ya nchi yetu katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu.” — Insp. Canatus, Polisi wa Kata ya Dutwa, Bariadi, akizungumza na wananchi
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Kimiti: Wanasiasa msitumie mitandao ya kijamii vibaya na kuvunja amani ya nchi

    MWENYEKITI wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere, Paul Kimiti, amewataka baadhi ya viongozi na wanasiasa kuwa waangalifu katika matumizi ya mitandao ya kijamii, ili kulinda amani na mshikamano wa Taifa. Akizungumza katika mahojiano maalumu na Daily News Digital jijini Dar es...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu uwafikie Watanzania wote wapenda amani

    Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe
Back
Top Bottom