Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,768
- 55,483
Fb source
We bure kabisa umeonyeshwa kuwa habari hiyo imetolewa mahali na kuletwa JF, hayo mambo ya 5W ni reporting za magazetini na vyombo rasmi hapa unapata kitu unaleta watu wanaoujua wanaweka ukweli sawa.hapana mkuu sijapanic, i have to correct where i see problem, mantiki yangu kuonyesha upungufu tu kwamba habari yako imekosa kitu kinaitwa 5W, 5W ni taaluma katika uandishi ambayo ndio hutoa uahalali wa habari yoyote unayoiona au kuskia.
poor reasoning, poor thinking, high panic,We bure kabisa umeonyeshwa kuwa habari hiyo imetolewa mahali na kuletwa JF, hayo mambo ya 5W ni reporting za magazetini na vyombo rasmi hapa unapata kitu unaleta watu wanaoujua wanaweka ukweli sawa.
Sasa wewe unataka habari ya JF iwe na 5W? Utasubiri sana!
Kwa kutumia mbinu zote halalikwa kutumia polisi ?
Hope itakuwa kwa ile staili ya kukimbia mkuku na sanduku la kura....Wewe subiri kichapo Jimboni Bunyungu...na kata zote halafu tutakutana hapo hapo Azam
Au amepigwa stop from mbinguni....Polepole sio mtu wa kumkimbia mchungaji Msigwa labda yuko bize.
Polepole tayari anajua ushindi walioupata kupitia tume hivyo hakutaka kuvuruga dili.Katika hali ya kushangaza Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amegoma kuingia katika kipindi kwenye Televisheni ya AZAM ambapo ilipaswa yeye pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Mchungaji Peter Msigwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa wajadili kuhusu hali ya uchaguzi ujao wa marudio pamoja na masuala mbalimbali yanayohusiana na Tume ya Uchaguzi.
AZAM TV iliwaalika viongozi hawa wawili leo jumamosi tarehe 14 julai muda wa saa 3.00 asubuhi katika studio zao kwa lengo la kujadili hali ya maandalizi ya uchaguzi wa marudio wa Jimbo la Bunyungu pamoja na kata mbalimbali na pia mjadala ulilenga kujadili suala la Tume ya Uchaguzi pamoja na utendaji wake.
Ambapo Viongozi wote wawili walifika katika studio hizo mapema kabla ya muda na katika hali ya kushangaza ghafla Polepole alipomuona Msigwa akakataa kushiriki katika kipindi hicho kwa madai ya kwamba akujiandaa na pia yeye ahusiki na suala la uchaguzi huo na sio msemaji wa mambo ya Tume ya uchaguzi na hivyo akakataa kushiriki kipindi hicho licha ya jitihada zilizofanywa na wawakilishi wa AZAM za kumshawishi ashiriki kipindi hicho lakini ziligonga ukuta.
Baadaye baada ya mgeni mmoja kukataa kushiriki ndipo Mch. Msigwa akatoa wazo la kushiriki mwenyewe ili aweze kuelezea kwa ujumla kuhusiana na mada hiyo lakini AZAM Tv wakamwambia wataandaa siku nyingine sababu mpangilio wa kipindi cha leo ulikuwa ni pande zote mbili za waalikwa hao ziweze kutoa maelezo na mitazamo mbalimbali kuhusiana na mada hiyo hali iliyopelekea Mbunge Msigwa naye kutopata Nafasi ya kujadili katika kipindi hicho ambacho kiliahirishwa.
kabisa tena ! kupora masanduku ikiwemoKwa kutumia mbinu zote halali
Unafikir msigwa anawazid wote wale waliokuwa wana jadili utafiti wa TWAWEZA? Na je umesahau msigwa alivyomuogopa Jiwe akakosa ya kuongea akabaki kumsifia JPM THEN BADAE Akaenda kujitetea kwenye mitandao? TafakariKatika hali ya kushangaza Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amegoma kuingia katika kipindi kwenye Televisheni ya AZAM ambapo ilipaswa yeye pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Mchungaji Peter Msigwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa wajadili kuhusu hali ya uchaguzi ujao wa marudio pamoja na masuala mbalimbali yanayohusiana na Tume ya Uchaguzi.
AZAM TV iliwaalika viongozi hawa wawili leo jumamosi tarehe 14 julai muda wa saa 3.00 asubuhi katika studio zao kwa lengo la kujadili hali ya maandalizi ya uchaguzi wa marudio wa Jimbo la Bunyungu pamoja na kata mbalimbali na pia mjadala ulilenga kujadili suala la Tume ya Uchaguzi pamoja na utendaji wake.
Ambapo Viongozi wote wawili walifika katika studio hizo mapema kabla ya muda na katika hali ya kushangaza ghafla Polepole alipomuona Msigwa akakataa kushiriki katika kipindi hicho kwa madai ya kwamba akujiandaa na pia yeye ahusiki na suala la uchaguzi huo na sio msemaji wa mambo ya Tume ya uchaguzi na hivyo akakataa kushiriki kipindi hicho licha ya jitihada zilizofanywa na wawakilishi wa AZAM za kumshawishi ashiriki kipindi hicho lakini ziligonga ukuta.
Baadaye baada ya mgeni mmoja kukataa kushiriki ndipo Mch. Msigwa akatoa wazo la kushiriki mwenyewe ili aweze kuelezea kwa ujumla kuhusiana na mada hiyo lakini AZAM Tv wakamwambia wataandaa siku nyingine sababu mpangilio wa kipindi cha leo ulikuwa ni pande zote mbili za waalikwa hao ziweze kutoa maelezo na mitazamo mbalimbali kuhusiana na mada hiyo hali iliyopelekea Mbunge Msigwa naye kutopata Nafasi ya kujadili katika kipindi hicho ambacho kiliahirishwa.
Pole pole aache kukimbia mjadala wa utafiti wa TWAWEZA uliokuwa umejaa wapinzani kibao ,aje kukimbia mtu aliyemuogopa JPM akabaki kummwagia misifa na kukimbilia kuomba radhi mitandaoni!!Katika hali ya kushangaza Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amegoma kuingia katika kipindi kwenye Televisheni ya AZAM ambapo ilipaswa yeye pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Mchungaji Peter Msigwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa wajadili kuhusu hali ya uchaguzi ujao wa marudio pamoja na masuala mbalimbali yanayohusiana na Tume ya Uchaguzi.