Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,379
Nimefatilia hotuba yako Leo,
Ndugu yangu, Wapinzani hawaichonganishi SERIKALI na wananchi, Bali ni watu wema ndani ya CCM wamezila na wengine wameamua kunyamaza na kukaa kimya.
Jiulize kwanini The late Kolimba alipomaliza kuongea kwenye moja ya vikao vya chama aliangukana. Unajua aliwahi kusema CCM imepoteza Dira, hasa baada ya watu wema kukaa kimya wakati wake na majibu tuliyapata baada ya Mrema kuhamia Nccr mageuzi na uchaguzi wa mwaka 1995 alimanusura dola iende upinzani? Unajua kuanzia hapo umhimu wa Kolimba ulianza kuonekana. Ukijua hayo ndipo utagundua kuwa tatizo sio CCM tatizo ni mfumo danganyifu ndani ya CCM.
Nawatakia kazi njema. Ila najua mambo mengi ndani ya CCM ni propaganda tu.
Deogratius Nalimi Kisandu