Polepole aisee Pole sana

Kati ya watu ambao hata nikiona sura yao tu mwili unanisisimka kwa hasira ni huyu dogo:ni mnafiki nje ndani, hafai hats kwa tambara LA kedekia!
 
CCM wamebaki viwavi jeshi wenye uchu na madaraka na minyoo ya njaa kali huku ubongo wao ukiwaza cheo na nafasi ya uongozi...polepole nae ni mweupe ni kama petro aliyemkana Yesu
 
Uzuri wa CCM ni Chama kubwa ni kama vile USA kila mtu anachambua na kukosoa anavyopenda, lkn ukosoaji huo huo ukiuhamishia upande wa pili ni majanga, sasa ichukuwe chadema, CUF au sijui Hashimu Rungwe (sijui jina la Chama chake) halafu ziweke kwenye radar kama vile CCM inavyowekwa, anza kuzichambua kuanzia Demokrasia mpaka haki za tu za kwaida za Wafanyakazi kama madereva halafu urudi hapa!
Ndio Shida hiyo! Hujui kuwa Ccm lazima ishambuliwe inapofanya mambo ya hovyo kwa vile ndiyo inaendesha serikali hivyo athari za uongo na utapeli wao ni kwa wananchi wote?
 
Nilishangaa niliposikia waandishi Wa habari wamealikwa kwenda kumsikiliza pole pole!!! Waandishi Wa habari ndio wanaotuangusha!!! Unawezaje kwenda kumsikiliza mtu kama pole pole? Hii nchi watu walioenda shule na ambao hawakwenda sijaona tofauti yao!!! Unaendaje kumsikiliza mtu aliekuhubiria vyeo vya ukuu wa wilaya havina tija vifutwe halafu hapo hapo akateuliwa akakubali? Au mtu aliekuhubiria umuhimu wa katiba mpya leo anakwambia sio kipaumbele? Hawa waandishi walioenda kumsikiliza hawana tofauti na wale wananchi wa Bukoba na Geita waliotukanwa wakabaki kupiga makofi na vigelegele!! Tanzania ina safari ndefu Mno!!!!!
Waandishi wa habari wasipokwenda kumsikiliza Polepole utakosa habari za kumjua zaidi ili umkosoe
 
Nilishangaa niliposikia waandishi Wa habari wamealikwa kwenda kumsikiliza pole pole!!! Waandishi Wa habari ndio wanaotuangusha!!! Unawezaje kwenda kumsikiliza mtu kama pole pole? Hii nchi watu walioenda shule na ambao hawakwenda sijaona tofauti yao!!! Unaendaje kumsikiliza mtu aliekuhubiria vyeo vya ukuu wa wilaya havina tija vifutwe halafu hapo hapo akateuliwa akakubali? Au mtu aliekuhubiria umuhimu wa katiba mpya leo anakwambia sio kipaumbele? Hawa waandishi walioenda kumsikiliza hawana tofauti na wale wananchi wa Bukoba na Geita waliotukanwa wakabaki kupiga makofi na vigelegele!! Tanzania ina safari ndefu Mno!!!!!
Fact
 
Back
Top Bottom