Musa Nyambo
Senior Member
- Aug 27, 2013
- 170
- 23
af huyu ni mjinga sana ukiona mtu anadanganya umma af anataaluma ya sheria arudishwe shule
Anayeichagua CCM anamaanisha kuwa anayo hela ya kumlipia mwanaye A level na Chuo Kikuu.
Anavyo ongea hivi anaongea kama nani?maana tunajua kamati kuu hayupo wala sio mjumbe wa NEC au ndio shobo ujinga.
Huyu bushmen anautafuta ukuu wa wilaya kwa nguvu zote.
Miongo sana mi ukawa. Yamezusha eti mwamunyange kapewa sumu. Leo kaonekana live wameanza kupotezea na kutafutiza tujineno. Wajinga sana hawa na yule babu asiyeweza kuhutubia kwa zaidi ya dk 10.
Huu msiba deo anaongelewa na kusikitikiwa kuliko baba Jeri.
Kama atakuwa Rais wa mafisadi.Hata angefanyaje jiandae tu lowassa ndo rais wako!!!
Hata angefanyaje jiandae tu lowassa ndo rais wako!!!