Kijana muongo na mchumia tumbo. Siku zimeisha zaulaji
Kama alinunuliwa kutetea Kuvunja Muungano sishangai akinunuliwa na Wezi kumpinga Mwizi
Kijana muongo na mchumia tumbo. Siku zimeisha zaulaji
Akiongea bila kumtaja jina Humphrey PolePole anasema kuwa wote waliokatwa na kamati ya Mangula ambao walikuwa 15 waliitwa na kuelezwa sababu za kukatwa.
Sasa yule ambaye alionekana kukiuka maadili especially ya kifisadi alipoelezwa aliyoyafanya aliishia KUOMBA MSAMAHA..!!
Kwa ufupi tu Lowasaa alikutwa na uvunjifu wa maadili na hatimaye kukatwa!
Cc:KINGUNGE
Source: 360 cloudstv
We kocho endelea kujitekenya.Ukawa majinga sana. Yatakapogundua kuwa yamedanganywa yatakuwa yamechelewa sana
Akiongea bila kumtaja jina Humphrey PolePole anasema kuwa wote waliokatwa na kamati ya Mangula ambao walikuwa 15 waliitwa na kuelezwa sababu za kukatwa.
Sasa yule ambaye alionekana kukiuka maadili especially ya kifisadi alipoelezwa aliyoyafanya aliishia KUOMBA MSAMAHA..!!
Kwa ufupi tu Lowasaa alikutwa na uvunjifu wa maadili na hatimaye kukatwa!
Cc:KINGUNGE
Source: 360 cloudstv
Pole pole ni mwongo na mzushi, anachokisema hakipo ndani ya CCM, Hakuna popote katika kanuni, taratibu au sheria za CCM inaonyesha kuwa Kamati ya Maadili anapaswa kuita wagombea na kuwahoji.
Lakini yote kwa yote, hicho kitu anachosema Polepole hakikutokea kabisa.
Ni jambo la ajabu kabisa Polepole kuzungumzia jambo ambalo hakuna mahali popote limezungumzwa na kiongozi yoyote wa CCM.
Akiongea bila kumtaja jina Humphrey PolePole anasema kuwa wote waliokatwa na kamati ya Mangula ambao walikuwa 15 waliitwa na kuelezwa sababu za kukatwa.
Sasa yule ambaye alionekana kukiuka maadili especially ya kifisadi alipoelezwa aliyoyafanya aliishia KUOMBA MSAMAHA..!!
Kwa ufupi tu Lowasaa alikutwa na uvunjifu wa maadili na hatimaye kukatwa!
Cc:KINGUNGE
Source: 360 cloudstv
Msubir kuvuna mlicho pandaAkiongea bila kumtaja jina Humphrey PolePole anasema kuwa wote waliokatwa na kamati ya Mangula ambao walikuwa 15 waliitwa na kuelezwa sababu za kukatwa.