Yaliyojiri kuaga mwili wa marehemu Deo Filikunjombe (Mb) - Kijichi jijini Dar es Salaam

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Picha za kuaga miili ya marehemu nyumbani kwa Marehemu Deo Filikunjombe, Kijichi - Dar es Salaam

Marehemu Deo alikuwa mdau hai (active member) wa JamiiForums tangu 2009 hadi mauti yanamkuta 2015

Wanachama na Uongozi wa JamiiForums umeshiriki kikamilifu.
4.png
5.png
Rais wa JMT,Dr Jakaya Kikwete akiaga mwili wa Marehemu Deo Hospitali ya jeshi Lugalo
View attachment 299886
6.png
7.png
Familia ya Marehemu Deo Filikunjombe
8.png
View attachment 299889
Screenshot from 2015-10-17 14:42:54.png
 
huu msiba unasikitisha sana jamani, pembeni hapo namuona mwanae mmoja ameshika tama.

RIP Deo.

Poleni familia
 
Poleni sana wafiwa wote. RIP Deo Na wenzako. Hakuna ajuaye atakufa lini, wapi Na jinsi gani. Tunaishi ili tufe
 
Deo umeondoka, hakuna tena ambae atashawishi watu kuipenda ccm ww ulikuwa ni wa pekee hakuna wa kufananishwa na ww ndani ya ccm Mwakyembe, alisha potea hivyo bc ccm inazidi kuzama
 
huu msiba unasikitisha sana jamani, pembeni hapo namuona mwanae mmoja ameshika tama.

RIP Deo.

Poleni familia

jitahidi sana kula mchicha halafu epuka kupiga sana punyeto kwani macho yako sasa yanakosa uono thabiti. huyo mtoto hapo hajashika tama bali amelala zake. iangalie picha kwa umakini wako uliotukuka ujiridhishe.
 
Mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi, wapumzike kwa amani..... Amina
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe sababu ni katika kufa ndipo tunapata uzima wa milele RIP Deo.
 
Deo ni aina ya watu kama Nyerere.....mitazamo na misimamo yako itaishi daima
 
Back
Top Bottom