Polepole afunguka: Lowassa aliomba msamaha kabla ya kukatwa!

Polepole afunguka: Lowassa aliomba msamaha kabla ya kukatwa!

Propaganda hizi zimechelewa sana. Watu wa Tanzania wameshafanya maamuzi magumu.

Lowassa ndiye Rais ajaye, huu ndio ukweli mchungu kwa CCM!

Umeamua wewe usiseme watz piga kura yako rudi nyumba tusubiri matokeo usitusemee
 
Akiongea bila kumtaja jina Humphrey PolePole anasema kuwa wote waliokatwa na kamati ya Mangula ambao walikuwa 15 waliitwa na kuelezwa sababu za kukatwa.

Sasa yule ambaye alionekana kukiuka maadili especially ya kifisadi alipoelezwa aliyoyafanya aliishia KUOMBA MSAMAHA..!!

Kwa ufupi tu Lowasaa alikutwa na uvunjifu wa maadili na hatimaye kukatwa!

Cc:KINGUNGE

Source: 360 cloudstv

Jambazi Sugu haliwezi kuwa rais hata kwa mbinde, no matter what the days are coming na wale wote wanaojifanya hamnzo watakiona cha ntema kuni. Kura za Wananchi wa Tanzania haziwezi kulipa hili Jambazi lililobobea na kukubuu wizi tangu enzi hizo, limekuwa likiishi kwa ujanja ujanja tu. EL hawezi kusema pesa anazonunua nyumba UK anazipata wapi? Hawezi kusema peremende anazogawa anazitoa wapi? Mbowe kuwadi mkuu, Sumaye mpige zeze na kuwadi lao kuu Jambazi Sugu never to be in our league, Pombe atawafanyia kazi.
 
akiongea bila kumtaja jina humphrey polepole anasema kuwa wote waliokatwa na kamati ya mangula ambao walikuwa 15 waliitwa na kuelezwa sababu za kukatwa.

Sasa yule ambaye alionekana kukiuka maadili especially ya kifisadi alipoelezwa aliyoyafanya aliishia kuomba msamaha..!!

Kwa ufupi tu lowasaa alikutwa na uvunjifu wa maadili na hatimaye kukatwa!

Cc:kingunge

source: 360 cloudstv

na jpili tunamkata tena
 
Subirin dawa iwaingie 25 october propaganda zenu zimechelewa sana.....u cant xtop people's power just wait and see. Keep watching the game.
 
Hizi pesa Ni nyingi Sana Na zingeweza hata kununua vifaa muhimu vya tiba pale muhimbili n.k lakini zimeenda kwa watu wachache, hafu watu wakiambiwa ccm hoyeeee! Na Wao wanaitikia bila kujua Kuna watu wamepiga pesa ya kutosha! Shenzi zenu!
Msaga Sumu yeye KALA NGAPI Mkuu??!
 
Ooooh Okey!!!! kumbe aliomba msamaha kwa kukiuka maadili ya CCM. Nimekubali huyu jamaa ni kiongozi bt hata hivyo yawezekana ndo alikuwa anawaaga hivyo ili hatimaye akatimize mpango wa Mungu.
 
Matusi hayasaidii kufuta ukweli...punguzeni panic...maswali kwa polepole yametoka kwa UKAWA!

Polepole ndio nani nchi hii?? Ana kipi mpaka hoja zake tukae na kuzijadili, tunachojua ni mbwa koko haachi kubweka ilhali haumi.

Watanzania tumeamua kwa dhati Lowassa ndiye rais wetu
Watanzania tumeamua CCM ibaki jumba la makumbusho kama chama kilichowahi kuwa cha hovyo hapa Tanzania
Watanzania tumeamua kuenzi fikra mpya za mabadiliko ya mfumo na uendeshaji wa nchi hii
Ole wao waliokuwa vibaraka wa CCM
Kile walichoshindwa CCM miaka 54 tutakiweza ndani ya miaka 10 Ikulu

#CCMOUT25OCT2015
#MABADILIKOYAMETIMIA2015
 
Jumapili magamba hamtaamini, jiandaeni na mafuriko ya uhakika. Hiyo fiesta yenu mwisho wake jumamosi. Mtamjua Lowassa ni nan !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom