Polepole afunguka: Lowassa aliomba msamaha kabla ya kukatwa!

Polepole kimbau kimbau mwenzangu siasa huziwezi angalia maisha yako
 
Polepole kwani ni mjumbe kamati ya maadili..? Yeye amenunuliwa na CCM kumchafua Lowassa tu, atakoma subiria 25 Oct. baada ya kura, Lowassa ni Rais, atafute nchi ya kwenda..!! Atajutia...!! Huyu dogo, mdomo wake ataujutia..!!

Nchimbi, Kimbisa, Sophia Simba, ndio wajumbe wa KAMATI KUU YA CCM, ndio wanao weza sema ukweli... na ukweli ni KUWA HAKI HAIKUFUATWA... Katiba ya CCM ilivunjwa, ili kumzuia Lowassa...!!!

Polepole ni pumbavu, lofa tu, na atakoma, ngoja Lowassa aapishwe..!!

Nadhani hao unaowategemea wamekupoteza.

Nchimbi, Sofia na Kimbisa mbona wameomba msamaha hadharani na kukiri kuwa wamepotoka?
Na wako wanampigia padlocks kampeni full swing?

Na zaidi ya hapo kiongozi wa hoja ya kuvunjwa kwa katiba na kanuni ni Kinginge.
Na yeye hakuwepo kwenye kikao chochote. Hii hoja inawala Ukawa kuliko unavyoweza kufikiria
 
MWENZANGU NA WEWE NI MWANACHAMA WA CCM?

Taarifa zinasambaa, kwamba msanii nguli wa muziki wa bongo fleva, Diamond, amelipwa Tsh. 1.3 bilioni kwa ajili ya kufanya kampeni za CCM, Wema sepetu ambaye amewahi kuripotiwa kucheza filamu za ngono, amepewa Tsh. 600 milioni. Kuna wasanii karibu 30 wanaofanya kampeni za CCM huku wakilipwa na CCM. Mabilioni ya pesa yanatumika huko kwa ajili hiyo.

K/mkuu Kinana anaripotiwa kujichukulia karibu Tsh. 3 bilion kutoka mfuko wa kampeni kisha akatoa taarifa kwa JK kuwa pesa za kampeni zimeisha. Alipoulizwa zimeishaje akajibu, Diamond Bil. 1.3, Wema mil. 600, wamekifanyia nini Chama? Mimi nimezunguka nchi nzima kukinadi chama nimepata nini, sasa nimechukua na sirudishi. Hapo K/mkuu alikataa kuwa msumari, utaelewa baadae.

Sio hivyo tu, humo humo kwenye kampeni kuna wapigaji wanafanya kazi yao.

Ukisikia CCM wamekopa mabilioni ya pesa kutoka CWT, na kuuza hisa za TBL kwa bil. 80, ili zisaidie kampeni usidhani zote zinakwenda kwenye kampeni, nop, watu wanajiandalia maisha baada ya uchaguzi.

Kuna dalili bilioni 1.3 na ishara milioni 600 za CCM kukosa Urais, kwa hiyo lazima watu wajiandae kuishi ndani au nje ya Tanzania baada ya kutolewa kwenye utawala.

Sasa wewe mwenzangu na Mimi, unayetoka mishipa kushabikia CCM, wewe ni kada au mtoto wa kada gani maarufu? Wewe ni mwanafamilia wa kada gani anayelalia mabilioni ya Shilingi za walipakodi? Na wewe ni mpigaji? Au unajiandaa kuwa mpigaji? Una undugu nao?

Au unajipendekeza tu ili upate nafasi ya kupiga pesa baadae?
Baba ako analipwa ngapi? Mama ako analipwa ngapi? au anajichukulia ngapi? Kwako wewe gharama za maisha haziongezeki sio? Huduma mbovu za elimu haikuhusu eti ee?

Ukisikia wanyama wamepandishwa ndege kutengeneza vituo vya utalii huko ughaibuni wewe huna habari, unatafuta majibu au matusi kwa watu wanaopinga hayo mambo.

Unajiita CCM kwa fulana na elfu 10, huwezi kujitafutia hivyo vitu kisha Ukawa huru kupambana na wanyang'anyi?

Wana CCM wenzako wananufaika na meno ya tembo na biashara za dawa ya kulevya wewe ni mmoja wao?

Unashinda mitandaoni kupost picha za kampeni za magufuri wakati wenye CCM wanakula maisha, wanatuachia maiti za tembo, mateja mitaani na mashimo matupu migodini, wao wanakesha baa, wakitoka na maV8 yao haaoo kwenye mahoteli ya kifahari, wakitoka humo ni ughaibuni.
Na wewe unafanya hivyo?

Kama ndio basi 'big up', Ila kama unatukana tu, unahangaika kuitetea CCM kwa buku 10, basi angalia vizuri nembo ya CCM utaona kuna alama ya NYUNDO, na wewe umechagua kuwa MSUMARI, kazi ya nyundo ni kugonga misumari, kwa hiyo wewe unagongwa na CCM. Na Kamwe masumari haugeuki kuwa Nyundo.

Utaishia kugongwa tu na Mimi nasema ugongwe tu maana hamna namna nyingine.
 
Ujumbe umewafikia.
 
Unazungumzia huyo Pole pole kijana aliye koma sura utafikiri yupo chooni ana...nya.
 
Kuna watu wasio Na akili wanawezasema hizi habari za kulipwa Diamond 1.3 bil. Na Wema 600 mil. Ni za kupikwa! Niwaambie kitu kimoja, wenyewe tumewasikia Wasanii wakisema wakisema wanapopanda kwenye majukwaa ya ccm wapo kazini, Kama wasanii Madee, Fd Q wanalipwa kila Show 2-5 mil. Kwa nini isiwe Diamond kuchukua 1.3 bil? Kumbuka Diamond Ana mkataba WA kufanya show mikutano 4 kwa siku tena mpaka mwisho WA kampeni Na thamani ya Diamond sasa Kula mtu anaijua, Wema kalipwa Mil. 600 kwa Sababu ya project yake ya Mama sema Na mwanao, project ime-include wasanii wakubwa ambao wanazunguka Na Wema nchi mzima kwenye kampeni za ccm, unadhani gharama hizo analipa nani? Hizo mil. 600 ndo zilizomwondoa Aunt Ezekiel Na Rey ukawa...! Hizi pesa Ni nyingi Sana Na zingeweza hata kununua vifaa muhimu vya tiba pale muhimbili n.k lakini zimeenda kwa watu wachache, hafu watu wakiambiwa ccm hoyeeee! Na Wao wanaitikia bila kujua Kuna watu wamepiga pesa ya kutosha! Shenzi zenu!
 
Clouds tv imekaa kimbeambea ,watangazaji wake wapo kimzaha zaidi hawapo serious na masuala muhimu sio tv ya kufaa kuangalia mtu makini watu wanaopenda taarabu ndiyo wanafaa kuiangalia
 
Wangejenga maabara kwenye mashule na kununua vitanda mahospitalini nk wasingekuwa na haja ya kutafuta kupigwa jeki na wadanii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom