GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mipango ya kando ya CCM

GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mipango ya kando ya CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
hiyo laana ya kusingizia kisichokuwepo ilianzaga kuwatafuna nccr mageuzi hadi ikafa, CUF wakachukua hatamu, nao wakaanza madharau na visingizio hivyo hivyo vya kizushia na kuchukia vyama vingine vya siasa walivyoviona vidogo nao vile vile wakapoteza ramani na kutokomea kusikijulikana,

haya,
sasaivi kachadema na uropokaji wao wanapita mule mule, sasa wamesambaratika na chadema masalia hawaeleweki popote hivi sasa, na ndio nitolee hiyo.

ni vizuri vyama vya siasa kujikita katika kueleza sera zao na kuwavutia wananchi wengi zaidi kuliko kuropoka ropoka kunakoonyesha kukata pumzi kisiasa 🐒
 
Back
Top Bottom