Polepole aachwe aongee asinyamazishwe, asizuiwe

Polepole ana haki ya kuikosoa serikali yake bungeni kama mbunge,na ana haki ya kuikosoa serikali yake popote pale kama mwananchi
Hahahaha vipi kipindi Cha magu? Wakina polepole walikuwa hawataki kabisaa serikali ikosolewe,mjanja tu huyo alituingiza kingi kwenye katiba ,akatuingiza king Tena,na Sasa anawaingiza kingi nyie msiyemjua,hapo akiwapewa cheo tu Cha ukatibu uenezi,ataanza kuwashughirikia watakao kuw wanakosoa,huyo ndo polepole bwana
 
Anapewa muda abwabawaje kisha atabanwa mbavu kidogo atapotea pote.. Yuko wapi Gwajiboi aliyekamata headlines kwa mawiki
 
pole pole kuikosoa serikali ya awamu ya sita anataka kuhesabika kama mhuni na wachumia tumbo,tena kwa kufikiri labda atateleza sehemu aropoke alichokusudia!!!
alichokusudia ndio hicho anachokiwasilisha moja kwa moja.

katika matamshi yake amekiti wazi haitakaa itokee ajutie kauli zake.
 
Anapewa muda abwabawaje kisha atabanwa mbavu kidogo atapotea pote.. Yuko wapi Gwajiboi aliyekamata headlines kwa mawiki

leo umekuwa muumini wa kubana watu mbavu.

au sababu anayeongea ni pole pole!!
 
Polepole aliingizwa bungeni ile akateee "project inayoitwa ATAKE ASITAKE" kisha angepewa Uwaziri wa Utalii !!!! Baada ya utabiri wa GODBLESS. LEMA kutimia ,sasa bwana polepole kawehuka
 
When the water rises the fish eat ants when the water falls the ants eat fish.

Slowslow (Polepole) needs to know that no condition is permanent
 
Polepole aliingizwa bungeni ile akateee "project inayoitwa ATAKE ASITAKE" kisha angepewa Uwaziri wa Utalii !!!! Baada ya utabiri wa GODBLESS. LEMA kutimia ,sasa bwana polepole kawehuka
Hili la kupaliliwa njia ya kuwa waziri ninalikubali kabisa yaani, maana dalili zote zilikuwepo, ilikuwa imebakia utekelezaji tu!

Kila Magufuli aliyemteua ubunge kwa nafasi za rais, lazima alikuwa na lengo naye la kumpaisha kula unyunyu!

Mabadiliko ya Mungu yanaweza kuja kwa kuchelewa ama kwa ghafla ya kustaajabisha sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom