Polepole aachwe aongee asinyamazishwe, asizuiwe

Muogope sana mtu mkimya, muogope sana asiyeongea maneno mengi, ni ngumu kumjua hisia zake ni ngumu kumjua maumivu yake .. Ni ngumu zaidi kumjua anawaza nini
Mfurahie muongeaji sana, sometimes tunaita kubwabwaja,huyo katikati ya kujiachia kwake kuna mahali atajisahau na kuongea asivyotegemea au ambavyo hakupaswa kuvitamka hadharani! Ni katika kuongea kwake sana ataihabarisha hadhira bila kujua vitu na mambo mengi yaliyokuwa yamekosa majibu.. Muongeaji sana ni mropokaji na mropokaji ana faida nyingi nzuri na mbaya kutegemeana na upande
Vipindi vya Polepole kwenye vituo vya luninga bila kujali vinafadhiliwa na nani vinatupa somo muhimu sana ya kwamba binadamu ni nani katika uhalisia wake.. Hasa pale unapompoka hadhi na sahani yake!
Vipindi vyake vinamuumbua yeye mwenyewe na kumuacha uchi wa mbuzi kwa kiwango kikubwa cha unafiki anachoonesha kwakuwa anatambua wazi anachokifanya sasa, angetokea mwingine akakifanya wakati ule wa mwendazake pengine hata kaburi lake lisingeonekana, kama sio kupotezwa huko kwenye jela za mbali nknk
Maneno ya polepole yanafunua mengi mabovu na mabaya ya utawala uliopita na kwa sehemu yanaweza kutengeneza ushahidi siku itakapotokea huko mbeleni zikafunguliwa kesi za kikatiba na jinai..
Kwa kutokemewa wala kukaripiwa anapata mzuka na kufunguka zaidi na hapo ndio wengi wanapataka
Ameanza kuzungumzia kuhusu wahuni ambao walipaswa kumalizwa ndani ya chama lakini kwa bahati mbaya kudra za Mwenyezi Mungu zikapindua matokeo
Sasa Polepole atawajibika ikibidi awataje wahuni waliomalizwa na orodha ya wahuni ambao walikuwa 'hawajamalizwa'.. Na walitumia mbinu na njia gani 'kuwamaliza' wahuni ndani ya chama.. !

Anaupiga mwingi kwa raha zake, akimaliza mtori atazikuta nyama chini..Taharuki ni pale atakapokuta ni nyama ya fisi wakati keshakunywa mtori wote
Wewe nae ni muhuni muhuni tu wa mwanga huna unalojua. Kama unaona serikali ya awamu ya 5 na 6 zinatofauti ww ni muhuni pia. Mbowe anaozea ndani kesi ya kijinga mashahd wanajichanganya majaji ni wahuni wahuni alaf we mla makande unaongea pumba.
Shame on you old man.
 
Muda ni mwalimu mzuri,yeye kwa upande wake anafikiri anajijenga kisiasa kumbe ndio anajibomoa zaidi.
Siasa za nchi hii wakati mwingine zinahitaji MTU ujifanye kama mjinga hivi or ufunike kombe mwanaharamu apite kwa faida ya mbeleni.
Kujifanya ujuaji mwingi wakati ww ukiwa machungoni huko kijijini kwenu wenzio walikuwa wanafanya siasa unajiharibia.

Upepo ukibadili uelekeo,tulia kwanza then ufuate unakoelekea hiyo ndio busara,kujifanya umwamba sana au ww umeshindikana sana utapigwa tu nami nasema wapigeni mana hamna namna sasa tumechoka.
In mizengo pindas voice
 
Walikosolewa kipindi wakiwa wameshika usukani, mwacheni nae akosoe vilivyo. That's democracy, si ndio mnavyotaka?
 
Ameanza kuzungumzia kuhusu wahuni ambao walipaswa kumalizwa ndani ya chama lakini kwa bahati mbaya kudra za Mwenyezi Mungu zikapindua matokeo

Sasa Polepole atawajibika ikibidi awataje wahuni waliomalizwa na orodha ya wahuni ambao walikuwa 'hawajamalizwa'.. Na walitumia mbinu na njia gani 'kuwamaliza' wahuni ndani ya chama.. !

Anaupiga mwingi kwa raha zake, akimaliza mtori atazikuta nyama chini..Taharuki ni pale atakapokuta ni nyama ya fisi wakati keshakunywa mtori wote
Nakazia kwenye hizo aya tatu hapo juu mkuu. Wataalamu wa kutunza kumbukumbu endeleeni kutunza. Siku ikifika ushahidi uliokusanywa utafikishwa mahala stahiki kwa ajili ya hatua za kisheria kuchukuliwa.
 
Wewe nae ni muhuni muhuni tu wa mwanga huna unalojua. Kama unaona serikali ya awamu ya 5 na 6 zinatofauti ww ni muhuni pia. Mbowe anaozea ndani kesi ya kijinga mashahd wanajichanganya majaji ni wahuni wahuni alaf we mla makande unaongea pumba.
Shame on you old man.
Nahisi bado hujamwelewa mleta uzi. Jipe muda kusoma uzi mzima kwa utulivu, baada ya hapo huenda ukaja na maoni tofauti.
 
Muogope sana mtu mkimya, muogope sana asiyeongea maneno mengi, ni ngumu kumjua hisia zake ni ngumu kumjua maumivu yake .. Ni ngumu zaidi kumjua anawaza nini

Mfurahie muongeaji sana, sometimes tunaita kubwabwaja,huyo katikati ya kujiachia kwake kuna mahali atajisahau na kuongea asivyotegemea au ambavyo hakupaswa kuvitamka hadharani!

Ni katika kuongea kwake sana ataihabarisha hadhira bila kujua vitu na mambo mengi yaliyokuwa yamekosa majibu.. Muongeaji sana ni mropokaji na mropokaji ana faida nyingi nzuri na mbaya kutegemeana na upande

Vipindi vya Polepole kwenye vituo vya luninga bila kujali vinafadhiliwa na nani vinatupa somo muhimu sana ya kwamba binadamu ni nani katika uhalisia wake.. Hasa pale unapompoka hadhi na sahani yake!

Vipindi vyake vinamuumbua yeye mwenyewe na kumuacha uchi wa mbuzi kwa kiwango kikubwa cha unafiki anachoonesha kwakuwa anatambua wazi anachokifanya sasa, angetokea mwingine akakifanya wakati ule wa mwendazake pengine hata kaburi lake lisingeonekana, kama sio kupotezwa huko kwenye jela za mbali nknk

Maneno ya polepole yanafunua mengi mabovu na mabaya ya utawala uliopita na kwa sehemu yanaweza kutengeneza ushahidi siku itakapotokea huko mbeleni zikafunguliwa kesi za kikatiba na jinai..

Kwa kutokemewa wala kukaripiwa anapata mzuka na kufunguka zaidi na hapo ndio wengi wanapataka

Ameanza kuzungumzia kuhusu wahuni ambao walipaswa kumalizwa ndani ya chama lakini kwa bahati mbaya kudra za Mwenyezi Mungu zikapindua matokeo

Sasa Polepole atawajibika ikibidi awataje wahuni waliomalizwa na orodha ya wahuni ambao walikuwa 'hawajamalizwa'.. Na walitumia mbinu na njia gani 'kuwamaliza' wahuni ndani ya chama.. !

Anaupiga mwingi kwa raha zake, akimaliza mtori atazikuta nyama chini..Taharuki ni pale atakapokuta ni nyama ya fisi wakati keshakunywa mtori wote
NONSENSE, NONSENSE(kwa sauti ya mama)
 
Polopole anapingwa zaidi na makada wa CHADEMA, kwa nini? Adui yao mkubwa mpaka sasa ni legacy ya Magufuli.

Ndiyo mana hawaangalii hoja anazotoa bali kudaka maneno machache na kuyapa maana potofu.

Mfano Polepole alieleza aina ya wahuni aliomaanisha kwenye interview ileile, lakini makamanda wameziba masikio na kulazimisha maana wanayoitaka wao! Lengo kumgombanisha na watawala! Na hii project ya makamanda haiko kwa Polepole tu, bali kwa kiongozi yeyote wanayemuona alimkubali Magufuli!
 
Muogope sana mtu mkimya, muogope sana asiyeongea maneno mengi, ni ngumu kumjua hisia zake ni ngumu kumjua maumivu yake .. Ni ngumu zaidi kumjua anawaza nini

Mfurahie muongeaji sana, sometimes tunaita kubwabwaja,huyo katikati ya kujiachia kwake kuna mahali atajisahau na kuongea asivyotegemea au ambavyo hakupaswa kuvitamka hadharani!

Ni katika kuongea kwake sana ataihabarisha hadhira bila kujua vitu na mambo mengi yaliyokuwa yamekosa majibu.. Muongeaji sana ni mropokaji na mropokaji ana faida nyingi nzuri na mbaya kutegemeana na upande

Vipindi vya Polepole kwenye vituo vya luninga bila kujali vinafadhiliwa na nani vinatupa somo muhimu sana ya kwamba binadamu ni nani katika uhalisia wake.. Hasa pale unapompoka hadhi na sahani yake!

Vipindi vyake vinamuumbua yeye mwenyewe na kumuacha uchi wa mbuzi kwa kiwango kikubwa cha unafiki anachoonesha kwakuwa anatambua wazi anachokifanya sasa, angetokea mwingine akakifanya wakati ule wa mwendazake pengine hata kaburi lake lisingeonekana, kama sio kupotezwa huko kwenye jela za mbali nknk

Maneno ya polepole yanafunua mengi mabovu na mabaya ya utawala uliopita na kwa sehemu yanaweza kutengeneza ushahidi siku itakapotokea huko mbeleni zikafunguliwa kesi za kikatiba na jinai..

Kwa kutokemewa wala kukaripiwa anapata mzuka na kufunguka zaidi na hapo ndio wengi wanapataka

Ameanza kuzungumzia kuhusu wahuni ambao walipaswa kumalizwa ndani ya chama lakini kwa bahati mbaya kudra za Mwenyezi Mungu zikapindua matokeo

Sasa Polepole atawajibika ikibidi awataje wahuni waliomalizwa na orodha ya wahuni ambao walikuwa 'hawajamalizwa'.. Na walitumia mbinu na njia gani 'kuwamaliza' wahuni ndani ya chama.. !

Anaupiga mwingi kwa raha zake, akimaliza mtori atazikuta nyama chini..Taharuki ni pale atakapokuta ni nyama ya fisi wakati keshakunywa mtori wote
Kuna Watu huwa wanalazimisha tu kuyaanza Maisha ya awali Wodi #26 ( Mortuary ) Muhimbili Hospital na baadae wakayazoee Kimoja ( Mazima ) Makaburini Kinondoni.
 
Umenena. Akiguswa atapata sababu ya kulalamika wakati kulalamika ni asili yake na njia anayoitafuta kutafutia kiki mjalaana huyu
 
Back
Top Bottom