Pcha hazionekani, Jaribu kuweka TenaTaharuki ni pale atakapokuta ni nyama ya fisi wakati keshakunywa mtori wote
Nadhani suala la Bashiru kua mtumishi wa umma kwa muda mrefu limemfanya kujua Nini maana ya kuheshimu mamlaka hata Kama hupendi.Sasa huyu mwingine mzee wa Vieite amekulia huko kwny ma NGO's hawezi kujua "maadili" ya huko serikalini.Madaraka yakikutoka ghafla bila kutaraji,upo ugonjwa unaokuingia mwenye I.Q,kubwa pekee huweza kuhimili hili,unless otherwise unaweza kuwa kama mwehu,I must congratulate Mr.Bashiru,ameweza kukontrol hii situations.
Na Ni mmoja Kati ya wahuni ambao wamesahauliwa kushughulikiwa na serikali.Lazima aonje jiwe la moto, kipindi chake aliumiza watu wengi sana. Ngoja aone umuhimu wa uhuru wa kujieleza maana alivyotufanyia kwa kweli sina hamu nae hata robo. Angelazwa hata jela ama atekwe na wasiojulikana ili aone Watanzania tulipitia kipindi gani enzi ya uongozi wake.
Aliingizwa bungeni kufacilitate process za atake asitake, tutamlazimisha.Lazima aonje jiwe la moto, kipindi chake aliumiza watu wengi sana. Ngoja aone umuhimu wa uhuru wa kujieleza maana alivyotufanyia kwa kweli sina hamu nae hata robo. Angelazwa hata jela ama atekwe na wasiojulikana ili aone Watanzania tulipitia kipindi gani enzi ya uongozi wake.