Kaambali
Member
- Sep 7, 2019
- 23
- 16
Guidebook kasome,kusoma Muhas cutting point ni kubwa sana,sasa mtu mwenye two ana apply vp hapo,muwe mnasoma guidebook ya TCU vizuri sio kila kitu tunalaumuNyoosha maelezo
Guidebook kasome,kusoma Muhas cutting point ni kubwa sana,sasa mtu mwenye two ana apply vp hapo,muwe mnasoma guidebook ya TCU vizuri sio kila kitu tunalaumuNyoosha maelezo
Minimum Ni two ya 10Uwe unasoma guidebook,mtakuwa mnalaumu tu,two ya 10 hawezi kwenda MD labda akasome vyuo private
MD na Pharmacy cutting point ni 8,sasa mtu mwenye two ya kumi anafikaje iyo cutting pointMinimum Ni two ya 10
Nani kakudanganya? Kwa taarifa yako kapata cuhas na joining instructions letter anayo.Uwe unasoma guidebook,mtakuwa mnalaumu tu,two ya 10 hawezi kwenda MD labda akasome vyuo private
Mtu mwenye C,C,D ana II.10. Hizo CCD ni sawa na 8points ambazo ndiyo minimum requirement points kwa kozi kama MD, Pharmacy.Guidebook kasome,kusoma Muhas cutting point ni kubwa sana,sasa mtu mwenye two ana apply vp hapo,muwe mnasoma guidebook ya TCU vizuri sio kila kitu tunalaumu
CCD unapata ngapi mkuu?MD na Pharmacy cutting point ni 8,sasa mtu mwenye two ya kumi anafikaje iyo cutting point
Cutting point inatokana na masomo mawili CC ni 6 mkuu,uwe unasoma guidebook vizuri nyie ndo wasomi tunaowategemea
Cutting point inaanza kuhesabiwa kwenye masomo mawili,kama itahesabiwa kwa masomo matatu lazima waweke from 3 subjects,CCD kwenye cutting point ni 6,na sio nane,soma vzur guidebook mtabaki kuwalaumu TCU tuMtu mwenye C,C,D ana II.10. Hizo CCD ni sawa na 8points ambazo ndiyo minimum requirement points kwa kozi kama MD, Pharmacy.
Sasa why asiapply mkuu?
Kaapply na kapata, ni technic-know-how tuu.
Unforgetable
Cutting point inatokana na masomo mawili CC ni 6 mkuu,uwe unasoma guidebook vizuri nyie ndo wasomi tunaowategemea
Usiwe unabisha vitu usivyovijua.Cutting point inaanza kuhesabiwa kwenye masomo mawili,kama itahesabiwa kwa masomo matatu lazima waweke from 3 subjects,CCD kwenye cutting point ni 6,na sio nane,soma vzur guidebook mtabaki kuwalaumu TCU tu
Sasa Md admission point huoni ni nane,au hayo macho vidonda
Unaelewa cutting point zilivyo na zinavyohesabika muwe mnasoma guidebook mnaelewa,sio mnapply tu ili mradi afu mnakuja kulalamika huku,pia competition inaweza ikapandisha admission point ikaongezeka zaidi ya hapo,ni lazima ujitathimini mapema,MUHAS mtu mwenye two ya 10,kwenye MD na Pharmacy hawezi chukuliwa yupo nje ya vigezo nimeandika ninachokijua vizuri kabisa,ukibisha sawa endelea kuomba uchange helaPole sana mkuu, naona mara yako ya mwisho kuchungulia guidebook ni mwaka 2015.
Cutting point za MD ni 3 principle pass, C ya chemistry C ya biology na atleast D ya physics.
Unforgetable
Abnormal × 100Magufuli alishawaambia UDOM pana nafasi kubwa nendeni huko mkajazane kama mchwa!
Watu tunazungumzia ukubwa na idadi ya majengo ninyi mnaleta blah blah za sijui eti capacity!
Majengo ndiyo yanayofundisha kwahiyo muende hapo!
Vyuo vingine uchwara hivi sijui sauti futa vyote wamezoea madili.
Hii ni awamu ya tano. Msitubabaishe!
C =3 D=2 haya kemia na biolojia C na fizikia D. C×2=6 na D= 2. 6+2=8MD na Pharmacy cutting point ni 8,sasa mtu mwenye two ya kumi anafikaje iyo cutting point
Cutting point inatokana na masomo mawili CC ni 6 mkuu,uwe unasoma guidebook vizuri nyie ndo wasomi tunaowategemea