Poleni wazazi ambao watoto wenu wamekosa vyuo

We jamaa mimi unanikera tu unapotoaga uzi na kuukimbia yaani hujibu wala kujadili kitu.
 
Nami naunga mkono hoja, mfumo wa mwanzo wa CAS kuptia TCU ulikuwa imara iingawa ulikuwa na mapungufu yake machache, lakini hauwezi kulinganishwa na huu wa sasa kwa wanafunzi kuombea chuo moja kwa moja.

Wahusika hawana taarifa sahihi juu ya carrying capacity ya chuo, pia hawajui nini kuhusu cutting off point, kiasi hata ukiwa umekidhi vigezo kwa namna gani kama hivyo vitu tajwa hapo juu viko nje ya uwezo wa chuo hauna namna lazima uachwe tu.
 
Guidebook kasome,kusoma Muhas cutting point ni kubwa sana,sasa mtu mwenye two ana apply vp hapo,muwe mnasoma guidebook ya TCU vizuri sio kila kitu tunalaumu
Mtu mwenye C,C,D ana II.10. Hizo CCD ni sawa na 8points ambazo ndiyo minimum requirement points kwa kozi kama MD, Pharmacy.

Sasa why asiapply mkuu?

Kaapply na kapata, ni technic-know-how tuu.

Unforgetable
 
Changamoto ni kwamba unakuta huyo mdau kapata gpa ya 4.7 ila kuna wengine ata mia zaidi yake wana 4.7 kwenda mbele ,then admission capacity unakuta ni 200 so ni ngumu kichukuliwa ushindani ni mkubwa

Ukiona umefaulu jua kuna watu wamefaulu zaidi ..ata kwenye mafanikio ukiona umefanikiwa kuna watu wamefanikiwa zaidi yako
 
Magufuli alishawaambia UDOM pana nafasi kubwa nendeni huko mkajazane kama mchwa!

Watu tunazungumzia ukubwa na idadi ya majengo ninyi mnaleta blah blah za sijui eti capacity!

Majengo ndiyo yanayofundisha kwahiyo muende hapo!

Vyuo vingine uchwara hivi sijui sauti futa vyote wamezoea madili.

Hii ni awamu ya tano. Msitubabaishe!
 
Mtu mwenye C,C,D ana II.10. Hizo CCD ni sawa na 8points ambazo ndiyo minimum requirement points kwa kozi kama MD, Pharmacy.

Sasa why asiapply mkuu?

Kaapply na kapata, ni technic-know-how tuu.

Unforgetable
Cutting point inaanza kuhesabiwa kwenye masomo mawili,kama itahesabiwa kwa masomo matatu lazima waweke from 3 subjects,CCD kwenye cutting point ni 6,na sio nane,soma vzur guidebook mtabaki kuwalaumu TCU tu
 
Pole sana mkuu, naona mara yako ya mwisho kuchungulia guidebook ni mwaka 2015.

Cutting point za MD ni 3 principle pass, C ya chemistry C ya biology na atleast D ya physics.
Cutting point inatokana na masomo mawili CC ni 6 mkuu,uwe unasoma guidebook vizuri nyie ndo wasomi tunaowategemea

Unforgetable
 
Cutting point inaanza kuhesabiwa kwenye masomo mawili,kama itahesabiwa kwa masomo matatu lazima waweke from 3 subjects,CCD kwenye cutting point ni 6,na sio nane,soma vzur guidebook mtabaki kuwalaumu TCU tu
Usiwe unabisha vitu usivyovijua.

Screenshot_20190921-153212.jpeg
 
Pole sana mkuu, naona mara yako ya mwisho kuchungulia guidebook ni mwaka 2015.

Cutting point za MD ni 3 principle pass, C ya chemistry C ya biology na atleast D ya physics.

Unforgetable
Unaelewa cutting point zilivyo na zinavyohesabika muwe mnasoma guidebook mnaelewa,sio mnapply tu ili mradi afu mnakuja kulalamika huku,pia competition inaweza ikapandisha admission point ikaongezeka zaidi ya hapo,ni lazima ujitathimini mapema,MUHAS mtu mwenye two ya 10,kwenye MD na Pharmacy hawezi chukuliwa yupo nje ya vigezo nimeandika ninachokijua vizuri kabisa,ukibisha sawa endelea kuomba uchange hela
 
Magufuli alishawaambia UDOM pana nafasi kubwa nendeni huko mkajazane kama mchwa!

Watu tunazungumzia ukubwa na idadi ya majengo ninyi mnaleta blah blah za sijui eti capacity!

Majengo ndiyo yanayofundisha kwahiyo muende hapo!

Vyuo vingine uchwara hivi sijui sauti futa vyote wamezoea madili.

Hii ni awamu ya tano. Msitubabaishe!
Abnormal × 100
tapatalk_1540037290463.jpeg
 
Back
Top Bottom