Poleni wanaume msiofunga ramadhani wenye wapenzi waislamu

Poleni wanaume msiofunga ramadhani wenye wapenzi waislamu

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
563
Wanaume ambao hawajafunga lakini wana wapenzi wa kiislamu mwezi huu wa ramadhani hesabuni maumivu kuhusu papuchi maana kila demu anasema no for sex
 
Hivi ubelgiji na USA jana vip
 
yani mwezi mmoja kutopiga papuchi watu wanaona kama miaka punguzeni uziziii
 
Ni afadhali mno ili wapumzishe via vya uzazi hawajui tu na havisemi tu ila wanavichosha mno wanavitumikisha kupita maelezo
 
hata sijaelewa hapa nini kinazungumzwa....
 
Tutalipiza siku wakifungua...toka waanze mfungo hata text wala call sipati,hata nikipiga anapokea mara moja moja sana..
 
Back
Top Bottom