Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Matunzo uhakika Mzee Dingi na Mengine atakayotaka Nampa.Utamtunza vizuri lakini? Au ndo utamuacha unasaidiwa na bodaboda?

Hahaha [emoji1787] Hilo liavatar lako na jina unique sio rahisi mtu akutambue.Afu mi siyo dingi arifu
Daah [emoji28][emoji28]Mimi binafsi nipo tayari kuoa mwanamke atakayenipa raha awe nyumbani tu Hana kazi namletea sio naoa nesi mwisho wa siku Nakuja kuandika nyuzi huku JF kuwa naachiwa mtoto nilale naye usiku yeye ameenda night shift.
Ukitaka uenjoy maisha owa mzaramo, ni ngumu sana kunielewa katika hili.Sasa yeye ni ambitious woman harafu anataka Mwanaume awe full Provider??😅😅😅
Sasa kuna tofauti gani na Goal keeper( jina baya hili kutamkwa na mimi).
Maisha yenyewe mafupi badala nioe mke wa kunipa Raha nami nikampa pesa nijitakie sifa eti naoa ambitious woman full stress kisa naridhisha community??
Nilikataaga hup ujinga mie.
Hapo siwezi kukuelewa maana hao watu ni mcharukoUkitaka uenjoy maisha owa mzaramo, ni ngumu sana kunielewa katika hili.
Alifanyaje?Huu Uzi unamhusu mama yangu kwa asilimia 💯
Akimaliza Degree anaunganisha Masters, akimalisa masters anapiga PhD, haitoshi anapiga vikozi vya ziada yaani mradi tu yeye asitombeke nyumbani.Huu Uzi unamhusu mama yangu kwa asilimia 💯
Corporate Sluts perfect wordAmbitious women?au unamaanisha "corporate sluts" ???..
Au wale wenye addiction na attention??..
Mwisho hulala wamekumbatia mito Tu kwenye majumba yao.....
Watu hu settle na wanawake wanaowapa peace ..
Ndio maana nikasema huwezi kunielewa, ni rahisi kuwaseti hawa maana ni wife material kweli, wanajuwa kupika, sex kwao ni passion hawezi kukwambia amechoka anaenjoy yani.Hapo siwezi kukuelewa maana hao watu ni mcharuko
Kwanza kabisa,Poleni kwa misiba mizito inayoendelea,
Pili nawapongeza na kuwapa pole wale wanaume waliooa wale wanawake tunaowaita ambitious women
Wanawake wanaojiangalia wao, wanawake wenye malengo makubwa makubwa, wanawake wasioweza kuvumilia shida , Yaani wao pesa mbele Kama tai,
Huwa nawaonea huruma hawa wakinababa, maanake inabidi upambane ya hela yote uweze kufit kwenye nafasi ya kumiliki ambitious woman,
Sasa bora awe ni mchepuko, akiwa mke wa Ndoa ya Kikristo mwanaume utaamua ukae nyuma Kama mkia au ukimbie nyumba,
Ambitious women hawana masikhara , mume hatakiwi kukosa wala kupungukiwa, mume hatakiwi kuugua, mwanaume unatakiwa kuwa full time provider bila kukosa.
Nachowapendea ambitious women hawaogop kuwa single mothers kabisa kwa sababu wanaamini wapo vizuri kwenye kujitafutia, wana mandoto makubwa makubwa na wanawaza mafanikio (financially) 24/7,
Kwa mwanaume yoyote Mwenye mke wa namna hii , leo natoa pongezi zangu kwake
Na kukuusia uzidi kupambana, ambitious women ni wazuri kwa future Ya wanao [emoji28]
Yeah sureAmbitious women?au unamaanisha "corporate sluts" ???..